Rais Samia: Asiyejua anasema Serikali inakopa tu, kwani tunakopa kununua sare za harusi?

Rais Samia: Asiyejua anasema Serikali inakopa tu, kwani tunakopa kununua sare za harusi?

Sasa ni mipasho tu! Mtaelewa tu! Nasikia watu wa pwani ni hodari sana kwa mipasho, kwamba wanaweza kumkamata mwizi, wakamkalisha chini na kuanza kumsema hadi akafa! Sijui kweli?
📌📌📌 Ndio Lugha mtakayoelewa.
 
Alitakiwa wajiangalie kwanza kwenye matumizi yao kwanza, siyo wanalipa kodi kunufaisha watawala.
 
Tafuta Nchi Yako ambayo haikopi ndio uhamie
Wewe unayekopa na wanaokopa ndio nchi yao na wanaolalamika sio Watanzania ? Hii ndio definition ya Vioja...; Kwahio wote wanaosema tofauti kuanzia kina Ndugai hawajui wanachosema na hawa wa sasa ndio wana akili sana kuliko wengine hata kutokuwa tayari kuwasikiliza baadhi ya walipaji wa Kodi na hio Mikopo
 
Watanzania wanalalamika nini? Wanalalamika si ni kina Mpina wanaofanya siasa za upotoshaji Kwa maslahi ya Kisiasa au?
 
Watanzania wanalalamika nini? Wanalalamika si ni kina Mpina wana
Mpina sio Mtanzania ? Na unajua haki ya kila Raia na Sio haki tu bali wajibu wa kila raia ni kupinga na kulalamika pale mambo ambapo hayaendi sawa ? (Na hata kama ni mkazi tu, so long as analipa Kodi ana haki ya kulalamika)....

In short unadhani huyu anayepinga (criticize) na wewe cheerleader unayetetea kila kitu ni nani ana positive value kwa Taifa hili ?
 
Huyo Mpina wako ni mjinga mmja tuu ambae kajipa.kazi ya kupotosha Ili afanye politics Kwa maslahi binafsi ila nyie msiojielewa ndio mnashangilia.

Huyo Mpina aliwaambia kwamba na Maendeleo ya Nchi yamepaa?
 
Utajuaje kile Serikali inafanya wakati mda wote wewe uko busy kufuatilia ujinga wa kina Mpina na Lisu wanafanya siasa Kwa vile wanajua Watanzania wengi hawana akili za kufuatilia mambo ya msingi so mnasubiria kuambiwa na hao wanaopotosha.

Mfano huu ni mradi Mijini 28 Nchi nzima zaidi ya Trilioni 1 za Mkopo kutoka India zinafanya kazi kwenye maeneo 28 Tanzania nzima ,ukitaka nikupe updates ya Kila sehemu naweza fanya hivyo.

Songea 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFYNDejsw3b/?igsh=OHFjNWMxbXljdWow

..inawezekana Mama Abduli hajui matumizi ya hovyo ktk serikali yake.

..Dr.Luhaga Mpina anamsaidia kujua mapungufu katika serikali badala yake anaambulia matusi toka kwa Mama Abduli.
 
..inawezekana Mama Abduli hajui matumizi ya hovyo ktk serikali yake.

..Dr.Luhaga Mpina anamsaidia kujua mapungufu katika serikali badala yake anaambulia matusi toka kwa Mama Abduli.
Wewe unayajua? Yataje
 
Back
Top Bottom