Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
HUYU RAIS ASAIDIWE,MAMBO MENGINE ANYAMAZE TU.Rais Samia: Asiyejua anasema Serikali inakopa tu, kwani tunakopa kununua sare za harusi?
View attachment 3218700
Anajua ila anafanya upotoshaji wa Kisiasa Kwa sababu anafahamu Watanzania wengi hawafuatilii nini Serikali inafanya ila wanasubiria kuambiwa na Wanasiasa.Rais Samia: Asiyejua anasema Serikali inakopa tu, kwani tunakopa kununua sare za harusi?
View attachment 3218700
unamwana sheria..?Rais wetu akili kisoda..
Rais Samia amedai Wafanyabiashara wadogo na wakati wengi wao wanakimbia ulipaji kodi hali inayosababisha kuingia kwenye mikopo na "Asiyejua anasema Serikali inakopa tu, kwani tunakopa kununua sare za harusi?"
Uhuru wa kutoa maoni maana yake nini... mikopo inayotumiwa kuhonga machawa kumuumbia sifa hizo ni akili ama matope ?unamwana sheria..?
Mpina kakalia kuti kavu CCM kugombea ubunge kupitia CCM yeye na Kibajaji aliyetaka kupindua mwenyekiti atoke nje na makamu kikao kibaki bila wao wasahau ubunge kupitia CCMRais Samia amedai Wafanyabiashara wadogo na wakati wengi wao wanakimbia ulipaji kodi hali inayosababisha kuingia kwenye mikopo na "Asiyejua anasema Serikali inakopa tu, kwani tunakopa kununua sare za harusi?"
Sasa ni mipasho tu! Mtaelewa tu! Nasikia watu wa pwani ni hodari sana kwa mipasho, kwamba wanaweza kumkamata mwizi, wakamkalisha chini na kuanza kumsema hadi akafa! Sijui kweli?Rais Samia amedai Wafanyabiashara wadogo na wakati wengi wao wanakimbia ulipaji kodi hali inayosababisha kuingia kwenye mikopo na "Asiyejua anasema Serikali inakopa tu, kwani tunakopa kununua sare za harusi?"
Utajuaje kile Serikali inafanya wakati mda wote wewe uko busy kufuatilia ujinga wa kina Mpina na Lisu wanafanya siasa Kwa vile wanajua Watanzania wengi hawana akili za kufuatilia mambo ya msingi so mnasubiria kuambiwa na hao wanaopotosha.Hiyo mikopo tuambiwe inaelekezwa wapi maana hatuoni hiyo miradi mipya zaidi ya ileile iliyokuwepo na ambayo kasi yake ya utekelzwaji haiakisi kiwango cha mikopo inayokopwa. Mikopo tembo utekelezwaji wa miradi kasi ya konokono hii inatia sana shaka
Lakini kuna hoja pia kuwa fedha za mikopo hazipiti hazina ina maana zinaingia mifukoni mwa watu. Hili Rais aliangalie kwa umakini haiwezekani raia wabebeshwe mzigo wa kulipa madeni wakati fedha hizo zililiwa na wachache
Tafuta Nchi Yako ambayo haikopi ndio uhamieBora zingekuwa Sare za Harusi ni bei Ndogo, hicho kinachofanyika labda hakiendani na kinachoonekana, hivyo ni civic duty ya kila mlipa Kodi na atakayelipa madeni ajue kinachofanyika (kama ni zile pikipiki, mabasi na pikipiki ni bora tukaacha kukopa); Na kama watu hawajui ni jukumu la nani kuwaelewesha ?!!
Iwapo tunapunguza Utoaji Huduma (kubinafsisha); kwanini Kodi hazipungui? Je, tunaongeza kumbana Mwananchi ili kutoa (huduma) gani?
Kodi ni muhimu sana ili kufadhili shughuli za serikali, huduma kwa umma kama vile barabara na mashule, Usalama wa Jamii, Afya na Mengineyo. Sasa kama hata hayo kuanzia Elimu (Mikopo na Shule Binafsi); Afya tuna BIMA ya Afya na kulipia Private; Kuhakikisha wafanyakazi wanalipwa ujira stahiki...www.jamiiforums.com
Kwanini Serikali Ikope Kuendesha Miradi, Wakati inaweza Kutengeneza Pesa ?
Kabla hatujaitana vichaa, kwanza kabisa tukubaliane kwamba ndicho kinachotokea sasa hivi duniani (creating money from thin Air) ingawa ni Benki ndio zinafanya hivyo... Pesa inavyotengezwa na kuongezwa kwenye Mzunguko na Benki Wewe ukienda kuomba mkopo Benki unapewa pesa ambayo Benki haina wala...www.jamiiforums.com
Atarudi Kizimkazi 2030Ajiandae kurudi kizimkazi