Najalibu kutafakali kwa haya yanayotokea huyu Mama baada ya kustaafu sizani kama atabaki Tanzania kama marais wenzake waliomtangulia,namuona yeye na familia yake wakienda kuishi Oman huku nyuma akiwa ametuachia msala wa mavurugano mkubwa wa kivyama,kisiasa na kidini,
Kama huko CCM hakuna wa kumthibiti na kumwambia ukweli kwa yanayakuja tutarajie maafa makubwa
Kama huko CCM hakuna wa kumthibiti na kumwambia ukweli kwa yanayakuja tutarajie maafa makubwa