Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Kiukweli katika siku mojawapo ambayo nilijisikia mnyonge ni jana aiseee nilijihisi nimepigwa shot ya umeme baada ya kukaa chini na kusikiliza hotuba ya Rais Samia kiukweli Rais samia anapotoshwa na wala haambiwi ukweli sijui kwanini sijui wasaidizi wake wanataka afeli au sijui nini kinamsibu huyu mama wa watu
Yaani anaamini kuna chama cha upinzani kinataka kufanya foju kweli? Yaani mheshimiwa mbowe awaorganize wenzake kufanya uharibifu kweli? Mheshimiwa mbowe huyu huyu ninae mjua Mimi ambaye olmost zaidi ya miaka 30 yupo kwenye siasa za nchi hii huyu mzee ana hekima sana na wala hana nongwa na mtu afanye uharibifu kweli? Aisee
Mheshimiwa Rais hii screenshot na wewe unaamini? Kwamba eti bonifasi Jacob anaorganize wahuni wa mtaa eti wakaripue vituo vya polisi? Bonifasi jacob huyu huyu alumni wa UDsm kiukweli nimechoka na kufadhaika sana
Na ninyi wasaidizi wa Rais mpo tayari Rais anapotea?na kupotoshwa? Kwa ajili ya maislahi yenu tu hamjui kwamba ipo siku mungu atawalipa kwa ouvu wenu? Rais samia kuwa makini unapotoshwa sana na utakuja kujua baadae sana ya kwamba unapotoshwa wakati upo nje ya madaraka kama mwenzio mkapa kama usiposhituka sasa.