PostGE2025 Rais Samia atangaza Baraza la Mawaziri na Manaibu waziri

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Baraza la mawaziri anatangaza na ile propaganda ya Jeshi la USA na TEC kujibiwa na Rais niko hapa
 
Hivi Rais ndo huwa anatangaza Baraza au katibu kiongozi ? Sikumbuki vizuri
Anaweza kutangaza yeye kama ni baraza kubwa au akampasia CS kama ni mabadiliko ingawa anaweza kuamua chochote apasie au atangaze yeye
 
Kama akiingia mitini nitamcheka sana Yan 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…