The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Nani alimwambia atamani U Rais? Kwani wanaopaweza ni yeye tuu? Yupo Anjelina Mabula alikuwa Naibu wake.Lukuvi alipaweza sn ardhi basi tu
Kwani si alisema wazi ,wanaotaka Urais atawatoa wakajipange vizuri.
Hiyo ndio shidaHakuna wa kutosha pale sababu wote wametishwa ni kwenda kusikiliza maelekezo ya serikali over
Uyo mtaka uraisi akajiandae vizuriNasikitika kwa Lukuvi tu basi
...mbona imekuchukua muda mrefu hivyo?Kweli nimeamini Magu alikufa!
Hao walioachwa ndio wanajipanga na uraisi au?Ikulu
Mkuchika
Utumishi
Mhagama
Ndejembi
Tamaisemi
Bashungwa
Silinde
Festo
Makamu wa Rais
Jafo
Hamis hamis
Sera Bunge
Pindi Chana
Nderiananga
Ajira na kazi
Ndalichako
Katambi
Fedha
Mwigulu
Chande
Ulinzi
Tax
Ndani
Masauni
Sagini
Katiba
Simbachawene
Pinda
Mambo ya Nje
Mulamula
Mbaruku
Kilimo
Bashe
Mavunde
Mifugo
Mashimba
Ulega
Ardhi
Mabula
Kikwete
Maliasili
Ndumbaro
Masanja
Nishati
Makamba
Byabato
Madini
Biteko
Kiluswa
Ujenzi
Mbarawa
Atupele Mwakibete
Godtlfrey Kasekenya
Viwanda
Kijaji
Kigahe
Afya
Ummy Mwalimu
Ole Mollel
Elimu
Mkenda
Kipanga
Maendeleo ya kamii
Gwajima dorothy
Mwanaidi Hamis
Maji
Jumaa aweso
Mahundi
Utamaduni
Mchengerwa
Gekul
Habari Mawasiliano
Nape Nnauye
Kundo Mathew
MAWAZIRI WALIOCHWA
Lukuvi
Kabudi
Mkumbo
Mwambe
Majalalani ndio empty kabisaProf Jalalani au Lukuvi mmoja wao anaweza akawa spika
Lukuvi hawezi kupata nafasi yeyote tupo hapa tutaona!Nadhani hao watachuana kwenye uwaziri mkuu
Utaskia sukuma gang wanamkwamisha..Sasa wazingue alafu tusikie kuna sijui "sukuma gang" wanamwendesha
Wahuni ndio wanapewa nyadhifa... duh
Bora umemchana live.Yes liko sawa, ULITAKA ATEULIWA BABAKO AU MAMAKO mkuu??? Punguza hasira na visirani, watoto wa kiume hukubaliana na hali afu wanasonga mbele.
Uyu mama panga pangua zote za mawaziri, tangu enzi za jakaya,jpm na Sasa uyu mama yeye huwa anabaki.
Sijajua huwa ana Nini Cha ziada[emoji4]
Watanzania baadhi yenu huwa mnachekesha sana. Kwani wewe huwezi kuwa Spika hadi useme fulani ndo Spika?Spika huyo mzee