[emoji28][emoji28][emoji28] nilijua sura mpya zinaingia
 
Mkuchika kurudi ikilu kuna jambo.
 
Kamuulze nondo...
 
Hii inaitwa 'mwenye wivu ajinyonge'. Pole kwa kazi ngumu Mh. Rais. Piga kazi, wananchi tupo na wewe bega kwa bega.
 
Prof Jalalani au Lukuvi mmoja wao anaweza akawa spika
Wewe huwezi? Halafu mnasema ajira hakuna hiyo nayo ni ajira pambana acha kutabiria wenzako tu kama mganga mpiga ramli haitakusaidia chochote.
 
Haya kumekucha! Kabla la Ndugai halijapoa vizuri, Wapinzani mmetupiwa fupa lingine la kuhangaika nalo! Mtacheza nalo hili kwa siku kadhaa then mtatupiwa la fupa la Spika mpya! Huku upande wenu hakuna mfanyacho cha maana, ujinga tu wa mitandaoni! Wapinzani wa nchi hii ni wa hovyo sana!! Wenyewe CCM wanasonga mbele huku wakiombana radhi na kusonga mbele! Hongera Nape, Hongera Riz! Mnastahili, mmenyanyasika sana miaka 5 iliyopita!

 
Ngoja tule nchi sasa..watu wale bata mambo yaende..hakuna kutishanatishana..msiogope hakuna kitakachoharibika.
 
Kila nikipitia kurasa narudia mara tano tano sioni wapi hawa wazee wangu wamekabidhiwa.

Au ndiyo imekuwa sadakarawe?
Tafadhali naomba mwenye kujua hilo wako wapi hawa wazee anijuze maana jf ni zaidi ya habari.
 
Mawaziri Waliochwa

Palamagamba Kabudi - Alikuwa Wizara ya Katiba na Sheria

William Lukuvi - Alikuwa wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi

Kitila Mkumbo - Alikuwa Wizara ya Viwanda na Biashara

Geoffrey Mwambe - Alikuwa Wizara ya Uwekezaji
Mweeeeee makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…