Sasa ukute watu wanavyomsifia kwenye mitandao, mara ooh mtu wa watu, sijui baba wa taifa!!

Watanzania wakati mwingine tunastahili kunyukwa hivi, tumepungukiwa sana ufahamu. Kikwete hamna kitu kabisa

Nimeandika mara nyingi humu kuwa Kikwete Ndio adui nambari moja wa Taifa hili lakini wapumbavu hawasikii; this guy is a criminal who should be incarcerated for his crimes against this country!
Chimbuko la matatizo yote nchi inayopata Hivi sasa ni kutokana na kitendo cha Kikwete kuhujumu kupatika kwa katiba ya wananchi period.
 
Naona zama za kina Papa Msofe kurudi kupora ardhi za watu zimewadia ni kosa kubwa sana limefanyika huyu kijana kumpa hiyo wizara ni mpigaji mkubwa wa kutaeleweka tu. Wakati wa baba aje nilipoteza 200 acres from my hard earned money
 
Mi ananifaa!Vipi hapo?.
 
Mungu mwenyewe kama aliupendelea uzao wa Yakobo (Israel) tu kuwa viongozi,wewe ni nani hata upindue meza?.Kunywa maji utulie.
 
Katiba mpya ni lazima. Itaturudishia heshima watanganyika. Hivi wazanzibar, wanakuja mpaka kuwa mawaziri huku ila kule kwao huwezi kuwa hata mjumbe wa Shina.
 
Mnapanda presha bure tuu haya ni mambo ya kawaida nchi zetu. Kenyatta aliandaa mwanae kuongoza na kaja kuwa kiongozi mzuri tuu. Mwinyi naye aliandaa mwanaye. Nyerere aliaandaa wakina Mkapa kama wanae akaja kuongoza. Sasa mnashangaa nini? Mtoto wa Museveni kuna siku atakuja kumrithi baba yake. Mnataka watoto wa vigogo wa CCM waadhibiwe kwa kunyimwa nafasi za uongozi kwa sababu ya majina yao? Nayo siyo haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…