Kyakashombo
Senior Member
- Oct 13, 2018
- 151
- 232
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ukute watu wanavyomsifia kwenye mitandao, mara ooh mtu wa watu, sijui baba wa taifa!!
Watanzania wakati mwingine tunastahili kunyukwa hivi, tumepungukiwa sana ufahamu. Kikwete hamna kitu kabisa
Naona zama za kina Papa Msofe kurudi kupora ardhi za watu zimewadia ni kosa kubwa sana limefanyika huyu kijana kumpa hiyo wizara ni mpigaji mkubwa wa kutaeleweka tu. Wakati wa baba aje nilipoteza 200 acres from my hard earned money
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kujifurahisha tu,amjambo.Na waamke kwelikweli,bado hizi familia zinafikiri watanzania ni wale waliowazoea ,Magufuli aliwaamsha ngoja tuone
Mi ananifaa!Vipi hapo?.Angalia watoto wa viongozi wakubwa au wastaafu wote wanapangiwa uwaziri na je mtoto wa mkulima lini atateuliwa??
Samia halipi fadhila bali anatimiza azma ya walioumizwa na JPM kwa kuwashughulikia na JPM hakuwa na mambo ya uongozi wa urithi,,,
Jamani jamani Samia hatufai sasa tufanyeje??? mjadala uwe huo
Samia anafanya kazi ya kuharibu legacy ya JPM ambayo angeipata kwa mambo mengi iliyoyaanzisha ikiwamo hiyo miradi ya kimkakati ya SGR , RUFIJI DAM na madaraja ya vivutio
Tunaona uchungu sana lkn tatizo hakuna upinzani credible kwani kuwapa nchi CDM ni bora ya hayo maCCM kwani CDM wakilipa fadhila ni huko nje kwa mabeberu wafadhili na waelekezaji wao,,,bora CCM walipane fadhila kwa waTZ mara dufu kuliko huyo Mabuttu Lissu wa Ubelgiji
NonsenseRais samia hongera kwa kuendelea kuwatumbua
Wera weraaaaaa twende kwa mnada
Hangaya kalikorogaNchi ya ukoo