Mtoto wa ndejembi mbona humtajiRidhiwani ndani, bora tupigwe mnada tu [emoji3]
Hhhhhhh wavumilie wamechanganyikiwaKwani wapo wangapi? na waTanganyika wapo wangapi?
Au Riz1 na Naue nao ni wazenji!?
Wewe unaota?dotto james yupi unaye muongelea?Dotto James out du sukumagang mtatumaliza ila malizieni miaka yenu minne mtatukuta tyuu
Ahsante!Hoja ijibiwe mara ngapi? We kama ni mbumbumbu wa uchumi tulia uelimishwe.
Kama hii video unayo naomba nitumie, kuna kitu nimemiss!Twende sasa !!!View attachment 2073613
Kwani wewe ni Dalali wa nyumba na vyumba?Nasikitika kwa Lukuvi tu basi
Kabisa Mkuu na mauwaji ya wakulima na wafugajiMigogoro inarudi upya
Sisi maustaadhi tunashangaa sana pengine yupo Kwa mkakati maalumu.
Nani huyo?
Ni makosa na dhambi kubwa kilinganisha uandaaji wa Nyerere kwa kina Mkapa, Salim n.k na wanachokifanya Mwinyi, Kikwete, Kenyatta na akina Museveni!Mnapanda presha bure tuu haya ni mambo ya kawaida nchi zetu. Kenyatta aliandaa mwanae kuongoza na kaja kuwa kiongozi mzuri tuu. Mwinyi naye aliandaa mwanaye. Nyerere aliaandaa wakina Mkapa kama wanae akaja kuongoza. Sasa mnashangaa nini? Mtoto wa Museveni kuna siku atakuja kumrithi baba yake. Mnataka watoto wa vigogo wa CCM waadhibiwe kwa kunyimwa nafasi za uongozi kwa sababu ya majina yao? Nayo siyo haki.
Jakaya Kikwete hajawahi kuwa na makamu mkristu, usikariri bwasheeCcm unaweza pewa yoyote uambatanaye naye hata kama mbuzi ili vitu vijibalansi wakipenda yani kwani kama kale ka utaratibu mara msimu huu mkristo sijui badae mwislamu mara makamu mkrsito mkuu mwislamu etc unadhani kanakujagaje [emoji23][emoji23] ni ajabu Ila thinking capacity zetu wakoloni sie wamjerumani ndo zilipoishiaga
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
You don't have to take my word for it, huna haja ya kwenda na ninachokisema mimi.Unataka kusema makamu ni pendekezo la mgombea na sio chama.
Hii inaonyesha VP ni pendekezo la mgombea.Anasema Jakaya Kikwete alikuja na kikaratasi akakisoma, "mgombea ameamua kufanya kazi na Samia."
Sidhani kama ni sahihi kusema hamjui...kwa miaka Jpm aliohudumu serikalini kama waziri mpaka urais wa miaka 5 ukisema hakumfahamu VP wake sio sawa.Na JPM mwenyewe ameeleza kinaga ubaga term ya pili alivyokuwa na mtihani kwa kuchagua VP, akam short list Hussein na Samia, mwishoni akaenda na Samia. Magufuli anahusika 1000% kumchagua Suluhu.
Mtu hamjui from a hole in a wall. Sasa leo Samia anacheza sindimba juu ya kaburi la Magufuli.