Rais Samia atangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu
Bwana wewe wote Tumeng'olewa, Ngoja watakuja kutuomba kura 2025 uzuri tuna mtaji wa watu, Baba yetu Magu alisema tuzae Sana,Ndo kitu inayotubeba, sukuma gang wote nje baadhi
kilangi
Kalemani
Chamuriho
Ndungai
Kabudi
BASHIRU
LUKUVI
Mkumbo
Charamila(makamu wa Rais Mchawi')
Makonda
N.k
 
Dotto James out du sukumagang mtatumaliza ila malizieni miaka yenu minne mtatukuta tyuu
 
Huyu ni asiye na principles anatumwa na watawala kuua ajenda fulani. Mchengelwa hakuwa na tabu yoyote alikiwa tayari kaiweza wizara.

Inashangaza kuona linaletwa vuvuzela tena Utumishi. Ila watumishi mjue kwamba hapo kuna kitu kinaandaliwa May 1 Rais atasema sina hela corona imeangusha uchumi!!!

Wa kutengeneza njia ya tamko hilo si mwingine ni Jenista Mhagama maana hanaga. Kazi yake kulinda watawala
 
Mnapanda presha bure tuu haya ni mambo ya kawaida nchi zetu. Kenyatta aliandaa mwanae kuongoza na kaja kuwa kiongozi mzuri tuu. Mwinyi naye aliandaa mwanaye. Nyerere aliaandaa wakina Mkapa kama wanae akaja kuongoza. Sasa mnashangaa nini? Mtoto wa Museveni kuna siku atakuja kumrithi baba yake. Mnataka watoto wa vigogo wa CCM waadhibiwe kwa kunyimwa nafasi za uongozi kwa sababu ya majina yao? Nayo siyo haki.
Ni makosa na dhambi kubwa kilinganisha uandaaji wa Nyerere kwa kina Mkapa, Salim n.k na wanachokifanya Mwinyi, Kikwete, Kenyatta na akina Museveni!

Anachostahili sifa Mwl tumpe, tusimfananishe na upuuzi
 
Ccm unaweza pewa yoyote uambatanaye naye hata kama mbuzi ili vitu vijibalansi wakipenda yani kwani kama kale ka utaratibu mara msimu huu mkristo sijui badae mwislamu mara makamu mkrsito mkuu mwislamu etc unadhani kanakujagaje [emoji23][emoji23] ni ajabu Ila thinking capacity zetu wakoloni sie wamjerumani ndo zilipoishiaga

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Jakaya Kikwete hajawahi kuwa na makamu mkristu, usikariri bwashee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kusema makamu ni pendekezo la mgombea na sio chama.
You don't have to take my word for it, huna haja ya kwenda na ninachokisema mimi.

Samia mwenyewe, akiwa VP, alieleza kwa kirefu ilikuwaje akawa VP, amefunguka mpaka nguo alivyokuwa amevaa siku hiyo ilikuwa haifai, alivyolia machozi akafutwa na "kaka yangu" Muhammed Billal.

Anasema Jakaya Kikwete alikuja na kikaratasi akakisoma, "mgombea ameamua kufanya kazi na Samia."

Na JPM mwenyewe ameeleza kinaga ubaga term ya pili alivyokuwa na mtihani kwa kuchagua VP, akam short list Hussein na Samia, mwishoni akaenda na Samia. Magufuli anahusika 1000% kumchagua Suluhu.

Mtu hamjui from a hole in a wall. Sasa leo Samia anacheza sindimba juu ya kaburi la Magufuli.
 
Anasema Jakaya Kikwete alikuja na kikaratasi akakisoma, "mgombea ameamua kufanya kazi na Samia."
Hii inaonyesha VP ni pendekezo la mgombea.


Na JPM mwenyewe ameeleza kinaga ubaga term ya pili alivyokuwa na mtihani kwa kuchagua VP, akam short list Hussein na Samia, mwishoni akaenda na Samia. Magufuli anahusika 1000% kumchagua Suluhu.

Mtu hamjui from a hole in a wall. Sasa leo Samia anacheza sindimba juu ya kaburi la Magufuli.
Sidhani kama ni sahihi kusema hamjui...kwa miaka Jpm aliohudumu serikalini kama waziri mpaka urais wa miaka 5 ukisema hakumfahamu VP wake sio sawa.

Huenda aliamua kumbakisha kwa vigezo maalumu kama kuteka ushawishi wa makundi fulani kama wanawake, Ccm Zanzibar na baadhi ya makundi yenye ushawishi chamani.

Hayo ya kuonekana anapingana na mtangulizi wake si sahihi kumlaumu Jpm, duniani pote kunapotokea 'regime change' mabadiliko hutokea pia....mwenye madaraka hubaki na maamuzi.
 
Back
Top Bottom