You're so naive! 2015 JPM hakuwa na say kwa Sisiemu, achilia mbali Samia mgombea mwenza, the VP to be. FYI: Yeye mwenyewe alikubalika kwa vile tu alikuwa mchapakazi, asiye na makandokando, makundi, wala harufu ya rushwa na ufisadi.

Ndiye mtu pekee aliyekubalika kwamba angeweza kuifufua na kuikomboa Sisiemu isijifie mazima. Mbona huu ni ukweli wa darasa la kwanza ^car-bee-sir^?
 
Hii ndiyo Taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa , hakuna mbunge wa kuchaguliwa wala wa kuteuliwa , ama hata wa viti maalum kutoka Mkoa wa DSM aliyeambulia uteuzi wa Uwaziri au Unaibu .

Bali hivi karibuni Mbunge wake wa Jimbo la Mbagala aitwaye Chaurembo aliendesha MASHINDANO YA REDE na kutoa zawadi ya Tsh mil 1 kwa washindi .
 
... hata kile kidogo walichokuwa nacho (Prof. Kitila Mkumbo - Ubungo) wamenyang'anywa. Dar ndio yenye wapiga kura wengi mara ngapi sijui zaidi ya Pwani ambayo imepewa nafasi 5 za uwaziri!
 
Hebu wataje hao wabunge wa Dar tuone kama kuna mwenye stress za 2025
1.Azan Zungu
2.Ndugulile
3.Kitila Mkumbo
4.Gwajima
5.
6.
7.
8.
 
Huyo chaulembo atakuwa mbunge wa familia yako

USSR
 
Hivi hii awamu wachaga wanakumbukwa?

Maana walikuwa wanalalamika sana kwamba wanabaguliwa!
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mashindano ya REDE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…