Aisee hawa wote nje:🐒kwahiyo Prop Kabudi nje na Bwana Lukuvi nje?
Weye hujakumbukwaa.
Tileteeni mkeka hapa hatitaki porojo🤔.Naona Nape karudi kama ilivyotarajiwa
Aisee hawa wote nje:🐒
William Lukuvi
Prof. Palamagamba Kabudi
Prof. Kitila Mkumbo
Dotto Biteko
Geoffrey Mwambe
Mkenda ana wajengea hospital walevi wa Rombo,bwashee, na Mramba aliwajengea barabara ya Mkuu Tarakea ,Msuya alipandisha umeme upare Milimani ,Magu alibadilisha barabara ipitie ChattoWatanzania bhana!
Waziri atayabadili maisha yako?
Msoga inarejea kwa kasi.
Looks like a retaliatory move....Ndo kitakachofuata,tuendelee kuangalia huu mpambano tutajionea mengi.Saivi konda tumbo jotrooo.
AlikookotwarKuna jamaa anaelekea jalalani saizi
Amefanyaje mkuu, mbona baraza liko sawa tu?Uyu Sa100 kazidi kutudharau watu wa bara
Hiyo ilitarajiwa, hao walikua Pro LateAisee hawa wote nje:[emoji205]
William Lukuvi
Prof. Palamagamba Kabudi
Prof. Kitila Mkumbo
Dotto Biteko
Geoffrey Mwambe