Rais Samia atangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu
Huyu mama nae uwezo mdg mnoooo, hii wizara ya ardhi yenye kelele kila uchwao ya kumpa huyu mabula

Yaani watu wamepewa wizara kama vile wamepewa nafasi ya kula na wala huoni uwezo wa kuweza kusogeza hiyo wizara hata hatua 1
 
Back
Top Bottom