Muda mfupi ujao Mabadiliko ya Baraza la mawaziri yanatarajiwa kutangazwa kutoka Ikulu Jijini Dar es salaam.
======
Rais Samia amebadilisha muundo wa Wizara Tatu, Ameunganisha Wizara ya Uwekezaji iliyokuwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Viwanda na Biashara kuwa Wizara Moja ambayo itaitwa Uwekezaji, Viwanda na Biashara.
Ameunda Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum na Wizara ya mwisho aliyoifanyia mabadiliko ni Wizara ya Afya
Uteuzi (Mawaziri Wapya):
Nape Nnauye - Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Hamad Masauni - Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi
Pindi Chana - Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)
Angelina Mabula - Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Hussein Bashe - Waziri wa Kilimo
Manaibu:
Anthony Mavunde - Kilimo
Jumanne Abdallah S. - Mambo ya Ndani
Dr. Lemomo - Madini
Ridhiwani Kikwete - Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Atupele Mwakibete - Ujenzi na Uchukuzi (Upande wa Uchukuzi)
Mabadiliko ya Mawaziri:
Jenista Mhagama - Ameenda utawala Bora
Ummy Mwalimu - Ameenda Afya
Simbachawene - Katiba na Sheria
Ndalichako - Waziri wa Kazi
Bashungwa - TAMISEMI
Prof. Mkenda - Wizara ya Elimu
Dorothy Gwajima - Wanawake, Jinsia na Makundi Maalum
Mchengerwa - Utamaduni na Michezo
Dr. Kijaji - Uwekezaji