Skylar
JF-Expert Member
- Nov 10, 2021
- 2,334
- 5,550
Kabudi atarudi majalalanikwahiyo Prop Kabudi nje na Bwana Lukuvi nje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabudi atarudi majalalanikwahiyo Prop Kabudi nje na Bwana Lukuvi nje?
Kwahiyo kama ana sifa asipewe?? Acha chuki mzee.Riziwani kala shavu,hapa mama kawapa watu cha kusema,bure kabisa.
Biteko bado yumo ? duh labda nimechanganya mafaili🤣Hapana Biteko bado yupo Madini...
Muda mfupi ujao Mabadiliko ya Baraza la mawaziri yanatarajiwa kutangazwa kutoka Ikulu Jijini Dar es salaam.
======
Rais Samia amebadilisha muundo wa Wizara Tatu, Ameunganisha Wizara ya Uwekezaji iliyokuwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Viwanda na Biashara kuwa Wizara Moja ambayo itaitwa Uwekezaji, Viwanda na Biashara.
Ameunda Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum na Wizara ya mwisho aliyoifanyia mabadiliko ni Wizara ya Afya
Uteuzi (Mawaziri Wapya):
Nape Nnauye - Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Hamad Masauni - Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi
Pindi Chana - Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)
Angelina Mabula - Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Hussein Bashe - Waziri wa Kilimo
Manaibu:
Anthony Mavunde - Kilimo
Jumanne Abdallah S. - Mambo ya Ndani
Dr. Lemomo - Madini
Ridhiwani Kikwete - Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Atupele Mwakibete - Ujenzi na Uchukuzi (Upande wa Uchukuzi)
Mabadiliko ya Mawaziri:
Jenista Mhagama - Ameenda utawala Bora
Ummy Mwalimu - Ameenda Afya
Simbachawene - Katiba na Sheria
Ndalichako - Waziri wa Kazi
Bashungwa - TAMISEMI
Prof. Mkenda - Wizara ya Elimu
Dorothy Gwajima - Wanawake, Jinsia na Makundi Maalum
Mchengerwa - Utamaduni na Michezo
Dr. Kijaji - Uwekezaji
Tunakuona Kabudi unavyochungulia 🐒
Bado yupo amehamishiwa wizara hiyo mpya ya jinsia na watotoAsante mama naona umesikia , yule mama wa mipasho,mama Gwajima,mpuuzi yule aende akaigizie wanaye na wajukuu zake.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wakati wa Magu ilikuwa ni CHRISTIANS PRO MAXMuslims promax
MasauniWaweke wazanzibar wote huenda moyo wake utatulia
Umeshwahi kuonana face to face au unamsikia na kumuona kwenye TVSitegemei kumwona mwigulu akibaki[emoji3525]
Mitaa yako ni lumumba tu sio, Sasa mbona mkeka hauonekani?Hiyo sio mitaa yangu
Biteko amebaki madiniAisee hawa wote nje:[emoji205]
William Lukuvi
Prof. Palamagamba Kabudi
Prof. Kitila Mkumbo
Dotto Biteko
Geoffrey Mwambe