Rais Samia atangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu
Pole nyingi sana kwa wote ambao tulikua tuna Amini kwenya baadhi ya mambo kwenye UMAGUFULISM...

Jana nimeshuhudia Raia wa kigeni anatengenezewa DRIVING LECENCE ya MCHONGO.....Easy.

Magufuli anabiringika kaburini.

Kosa ni lake JPM mwenyewe kwa legacy yake kuwa flipped up side down, unawezaje kumuweka potential mrithi wako mtu humjui???? Hana track record yeyote, hana distinction, hujui anaamini nini, anasimamia nini, nothing! Unamfanya VP. Mtu ana gudu na wewe.

Labda Jesca au Janet Magufuli waje waandike kitabu watueleze, mume wao alikuwa anafikiria nini kumuweka mama wa Kizanzibar asiyeamini anachokiamini JPM, hamjui! Matokeo yake anakuja kupindua kila chembe ya legacy yake. The hell was Magu thinking ???
 
Magu anabiringika kaburini.

Kosa ni lake JPM mwenyewe kwa legacy yake kuwa flipped up side down, unawezaje kumuweka potential mrithi wako mtu humjui???? Hana track record yeyote, hana distinction, hujui anaamini nini, anasimamia nini, nothing! Unamweka VP wa nchi. Kumbe mtu ana gudu na wewe.

Labda Jesca au Janet Magufuli waje siku moja waandike kitabu watueleze, mume wao alikuwa anafikiria nini kumuweka mama wa Kizanzibar ambae haamini anachokiamini JPM, hamjui, matokeo yake anakuja kupindua kila chembe ya legacy yake. The hell was Magu thinking ????
Ccm unaweza pewa yoyote uambatanaye naye hata kama mbuzi ili vitu vijibalansi wakipenda yani kwani kama kale ka utaratibu mara msimu huu mkristo sijui badae mwislamu mara makamu mkrsito mkuu mwislamu etc unadhani kanakujagaje [emoji23][emoji23] ni ajabu Ila thinking capacity zetu wakoloni sie wamjerumani ndo zilipoishiaga

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Kumbe makamu wa rais anaweza kubadilishwa muda wowote?
 
Uzuri au ubaya wa hizi teuzi ni kwamba ki dira uraisi wa SSH unaanzia hapa rasmi.

Kwenda mbele hii ni serikali mpya na ina agenda na mbinu zake za kufanikisha mipango yake.

It’s official Magufuli era imeisha na hizi teuzi.

Haya” neno ambalo hayati alikuwa akipenda kumalizanalo.

All the best.
 
Magu anabiringika kaburini.

Kosa ni lake JPM mwenyewe kwa legacy yake kuwa flipped up side down, unawezaje kumuweka potential mrithi wako mtu humjui???? Hana track record yeyote, hana distinction, hujui anaamini nini, anasimamia nini, nothing! Unamweka VP wa nchi. Kumbe mtu ana gudu na wewe.

Labda Jesca au Janet Magufuli waje siku moja waandike kitabu watueleze, mume wao alikuwa anafikiria nini kumuweka mama wa Kizanzibar ambae haamini anachokiamini JPM, hamjui, matokeo yake anakuja kupindua kila chembe ya legacy yake. The hell was Magu thinking ????
It was a technical mistake. Alidhania angedumu, ndio maana alikuwa anattaka kuongeza tenure ya yeye kukaa madarakani
 
Muda mfupi ujao Mabadiliko ya Baraza la mawaziri yanatarajiwa kutangazwa kutoka Ikulu Jijini Dar es salaam.

======

Rais Samia amebadilisha muundo wa Wizara Tatu, Ameunganisha Wizara ya Uwekezaji iliyokuwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Viwanda na Biashara kuwa Wizara Moja ambayo itaitwa Uwekezaji, Viwanda na Biashara.

Ameunda Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum na Wizara ya mwisho aliyoifanyia mabadiliko ni Wizara ya Afya

Uteuzi (Mawaziri Wapya):

Nape Moses Nnauye - Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Hamad Masauni - Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi

Dkt. Pindi Chana - Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)

Dkt. Angelina Mabula - Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Hussein Bashe - Waziri wa Kilimo

Manaibu:
Anthony Mavunde - Kilimo

Jumanne Abdallah Sagini - Mambo ya Ndani

Dr. Lemomo Ole Kiruswa - Madini

Ridhiwani Kikwete - Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Atupele Mwakibete - Ujenzi na Uchukuzi (Upande wa Uchukuzi)


Mabadiliko ya Mawaziri:

Jenista Mhagama - Utawala Bora

Ummy Mwalimu - Afya

George Simbachawene - Katiba na Sheria

Profesa Joyce Ndalichako - Waziri wa Kazi

Innocent Lugha Bashungwa - TAMISEMI

Profesa Adolf Mkenda - Wizara ya Elimu

Dkt. Dorothy Gwajima - Wanawake, Jinsia na Makundi Maalum

Mohammed Mchengerwa - Utamaduni na Michezo

Dkt. Ashatu Kijaji - Uwekezaji


Mawaziri Walioachwa

Palamagamba Kabudi - Alikuwa Wizara ya Katiba na Sheria

William Lukuvi - Alikuwa wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi

Kitila Mkumbo - Alikuwa Wizara ya Viwanda na Biashara

Geoffrey Mwambe - Alikuwa Wizara ya Uwekezaji

=====

Kwa Ufupi;

Ikulu

Mkuchika

Utumishi
Mhagama
Ndejembi

Tamaisemi
Bashungwa
Silinde
Festo

Makamu wa Rais
Jafo
Hamis Hamis


Sera Bunge
Pindi Chana
Nderiananga

Ajira na kazi
Ndalichako
Katambi

Fedha
Mwigulu
Chande

Ulinzi
Tax

Ndani
Masauni
Sagini

Katiba
Simbachawene
Pinda

Mambo ya Nje
Mulamula
Mbaruku

Kilimo
Bashe
Mavunde


Mifugo
Mashimba
Ulega

Ardhi
Mabula
Kikwete

Maliasili
Ndumbaro
Masanja

Nishati
Makamba
Byabato

Madini
Biteko
Kiluswa

Ujenzi
Mbarawa
Atupele Mwakibete
Godtlfrey Kasekenya

Viwanda
Kijaji
Kigahe

Afya
Ummy Mwalimu
Ole Mollel


Elimu
Mkenda
Kipanga

Maendeleo ya kamii
Gwajima dorothy
Mwanaidi Hamis

Maji
Jumaa aweso
Mahundi

Utamaduni
Mchengerwa
Gekul

Habari Mawasiliano
Nape Nnauye
Kundo Mathew
Acha tu.
Nape karudi
Kikwete jnr ulaji, mnashangaa nini?!
Lukuvi out!
Kitila kule!
Kabudi teke kule
Yoyote tishio kwa mama 2025 kaa mbali kabisa.
Nje ya mada, ebu sikilizeni hizi audio muamuwe wenyewe…
 

Attachments

  • IMG_0669.MP4
    1.5 MB
Nyie watu wa kule kwetu mna karama ya unabii. Hebu tukutane tuone namna tutakavyoweza kufungua kanisa

Tuna karama na vichwa vyetu sio vya nazi; na hivyo wanatuogopa, na Ndio maana walituhujumu tulipotaka kuongoza nchi!!!
Hakuna haja ya kufungua makanisa tunayo ya kutosha iliyobaki ni kukomaa na hawa wahuni tupate katiba mpya ama sivyo hizi akili ndogo Ndio zitakazotutawala sisi wenye akili kubwa!!
 
Ccm unaweza pewa yoyote uambatanaye naye hata kama mbuzi ili vitu vijibalansi
term ya kwanza yes, Magu alipachikiwa Samia aende nae apende asipende

term ya pili Magu alikuwa na nguvu kupita Alexander the Great.... Kama ambavyo Jakaya Kikwete term ya pili aliwapiga chini kina Rostam Aziz, akasema watoto wangu wa kuzaa Ridhiwani na Miraji watakimbiza kampeni yangu ya Urais... he had his own money, power, security and intelligence resources, he didn't need nobody!

By the second term Magu alishawalowesha chepe chepe kina Kikwete, Kinana, Yusuph Makamba , vizee vya CCM vyote, hakuwa na mtu wa kumkoromea, angeweza kumchagua Jesca awe VP na tusingemfanya lolote.

Kwa nini akachagua huyu mama from a hole in a wall in Kiembe Samaki aje ku subvert his legacy??? Humprey Polepole, Dotto James, Bashiru Ally, Palamagamba Kabudi, Janet Magufuli, somebody in his inner circle please come forward and tell the nation, what on earth was Magufuli thinking ???????
 
Tuna karama na vichwa vyetu sio vya nazi; na hivyo wanatuogopa, na Ndio maana walituhujumu tulipotaka kuongoza nchi!!!
Hakuna haja ya kufungua makanisa tunayo ya kutosha iliyobaki ni kukomaa na hawa wahuni tupate katiba mpya ama sivyo hizi akili ndogo Ndio zitakazotutawala sisi wenye akili kubwa!!
Katiba mpya NDILO hitaji namba moja la Watanzania wote
 
Kuna Mtu anajiona anaweza kufanya chochote anachotaka katika nchi hii wakati hata akifa Leo hakutafanyika teuzi kuziba nafasi Wala uchaguzi. Ila huu Ni mwaka wake wa mwisho kuharibu hii nchi.
Nani huyo?
 
Angalia watoto wa viongozi wakubwa au wastaafu wote wanapangiwa uwaziri na je mtoto wa mkulima lini atateuliwa??
Samia halipi fadhila bali anatimiza azma ya walioumizwa na JPM kwa kuwashughulikia na JPM hakuwa na mambo ya uongozi wa urithi,,,
Jamani jamani Samia hatufai sasa tufanyeje??? mjadala uwe huo
Nyie mijamaa ni MINAFIKI SANA...

January Makamba hakuwepo kwenye uongozi wa JPM?

Nape Nnauye hakuwepo kwenye uogozi wa JPM?

Hussein Mwinyi hakuwepo kwenye uongozi wa JPM?

Au hili povu ni kwa ajili ya Riz1?

Sio huyo huyo JPM ndie amlimteua Salma Kikwete kuwa Mbunge?
 
Wewe endelea kuuwaza upinzani wakati hiyo ccm yako ndo bye bye baba jeni.Kama huna akili zakutosha kusoma alama za nyakati huwezi kuona hilo.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Chama dola huwa hakifi kirahisi rahisi hivyo, waliokufa wanajulikana, hawajui hata wanasimamia hoja gani kwa sasa, kudandia dandia tu mambo ya CCM! Kwa sasa mambo yamesawazishwa, Serikali inarudi kuchapa kazi
 
Unataka kusema makamu ni pendekezo la mgombea na sio chama.
 
Wasalaam,

Sina mengi ya kuelezea hapa,hasa ukizingatia Mimi si mtaalamu sana kwenye siasa, ila mama nampa kongole kwa mawaziri Hawa,

Doto biteko

Huyu jamaa huwa namwelewa sana tu hasa jinsi ya unyeti wa wizara yake anayoiongoza.

Hussein bashe

Huyu ni forward aliyekuwa anacheza back na kocha kaamua kumpa namba yake halisi[emoji23][emoji23]

Adolfu mkenda

Yaani kama ni mtihani Mimi nimefaulu yaani mawaziri ambao nawaelewa na nilikuwa nafikiria mama akiwaacha basi labda ni kwa migongano ya kisiasa tu ni huyu

Wengine walioachwa Sina Cha kuelezea ila kwa waziri Lukuvi mmmmmmmmmhh?!?!?!

Labda nimepigwa na kitu kizito[emoji23][emoji23]

Kwa mkuchika,naona wengi wanashangilia ingizo lake lakini kwangu kila kitu kina mwisho wake ni wakati sahihi wa kulea wajukuu na kupanga mirathi ili watu wasije kukichafua mbeleni

Kwa wengine waliopata dhamana karibu wote sijawaelewa labda kama ni kulipana fadhila na kupozana machungu

Good morning jamii forums [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]



Jamii forum
 
Back
Top Bottom