Rais Samia atangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu
Wanabodi amani iwe nanyi.

Jana ulifanyika uteuzi wa mawaziri, manaibu mawaziri, makatibu wakuu na manaibu makatibu katika wizara mbalimbali.

Majina ya mawaziri na manaibu wao yameonekana na kujadiliwa humu kwa kina.

Nimejaribu kutafuta majina ya makatibu wakuu na manaibu wao bado sijafanikiwa.

Aliye na mkeka wao tafdhali auweke hapa.
 
Same here, nawasikia tu wakiongelea mabadiliko ya makatibu
 
Kazi iendelee
IMG-20220108-WA0092.jpg
IMG-20220108-WA0093.jpg
IMG-20220108-WA0094.jpg


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mama amekwisha sasa. Na CCM itagawanyika sasa hivi. Sibirini. Mama anaongizwa na Kikwete na wala siyo yeye mwenyewe. Hajiamini hata mara moja. Asitudanganye.

Amemtoa Ndugai kafara na yeye siku zake zinahesabika. Tit for tat!
Huku ndio kujifariji kwenyewe😆😆
 
Magu anabiringika kaburini.

Kosa ni lake JPM mwenyewe kwa legacy yake kuwa flipped up side down, unawezaje kumuweka potential mrithi wako mtu humjui
Kwa jinsi Mambo yanavyo kwenda kasi kuna watu wanasononeka sana mahali huko....
 
Back
Top Bottom