Rais Samia atangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu
Mawaziri siyo lazima wawe wataalam wabobezi, wao ni wasaidizi wa Rais kusimamia sera na wanateuliwa kulingana na atakavyoona inafaa.

Kama ilivyo kwa Rais, mawaziri nao hutegemea wataalam kuendesha shughuli za siku kwa siku za wizara.

Wanachofanya ni kuwadhibiti wataalam wafanye kulingana na matakwa yao kisera.
 
Hii ndiyo Taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa , hakuna mbunge wa kuchaguliwa wala wa kuteuliwa , ama hata wa viti maalum kutoka Mkoa wa DSM aliyeambulia uteuzi wa Uwaziri au Unaibu .

Bali hivi karibuni Mbunge wake wa Jimbo la Mbagala aitwaye Chaurembo aliendesha MASHINDANO YA REDE na kutoa zawadi ya Tsh mil 1 kwa washindi .
Pindi chana je?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
You're so naive! 2015 JPM hakuwa na say kwa Sisiemu,
Unabishana na mimi au unabishana na Samia ?

Samia mwenyewe ndio kasema Kikwete alikuja ukumbini na kikaratasi kimeandikwa “mgombea ameamua kufanya kazi na Samia.”

Kwa hiyo Magufuli mwenyewe ndio katengeneza jinamizi lililokuja kufuta legacy yake.

Unachaguaje mtu Vice President humjui ????

Samia Suluhu is poker faced, you never can read what she is thinking. She fooled JPM.
 
Unabishana na mimi au unabishana na Samia?

Samia mwenyewe ndio kasema Kikwete alikuja ukumbini na kikaratasi kimeandikwa “mgombea ameamua kufanya kazi na Samia...
Una hakika hiko kimemo kilitoka kwa JPM? Mbona leo hutumii akili ^car-bee-sir^ kama kawaida yako?
 
Sidhani kama ni sahihi kusema hamjui...kwa miaka Jpm aliohudumu serikalini kama waziri mpaka urais wa miaka 5 ukisema hakumfahamu VP wake sio sawa.

Okay, kwa hiyo Magufuli alijua Samia ni type za Kikwete, a full-fledged Kikweteist na bado akamchagua VP ?

Type za Kikwete, watu ambao Magufuli amekufa akiwalaani kwamba wametuchelewesha, wamejimilikisha mali za masikini wachafu, wametuuzia madawa ya kulevya ili watoto wetu wateme udenda, wajinga wameingia mikataba ya kipumbavu, wanasafiri kula ma allowance na kukalia viti vya business class wakati sisi tunakalia mavi ya ng’ombe pembeni ya mgodi wa Mwadui.

wamewapa bandari kavu Wayemeni na Wahindi ili wajengewe ma apartment Mikocheni kwa majina ya watoto wao, wamezima mitambo Kidatu na Mtera ili wake zao watuuzie generators, viongozi waliopuuzia kutujengea hospitali kwa sababu wao wanatibiwa John Hopkins University Hospital kwa hela ya ushuru wa masikini wa kutupwa walio import bodaboda na bajaji - Magufuli alijua Samia ndio type hizo na bado akamchagua vipi?

Ndo maana nasema Magufuli hakumjua Samia!
 
Okay, kwa hiyo Magufuli alijua Samia ni type za Kikwete, a full-fledged Kikweteist na bado akamchagua VP ?

Type za Kikwete, watu ambao Magufuli amekufa akiwalaani kwamba wametuchelewesha, wamejimilikisha mali za masikini wachafu, wametuuzia madawa ya kulevya ili watoto wetu wateme udenda...
Ndio maana nikasema kuna sababu za yeye kuteuliwa VP ikiwemo Uzanzibari (kama sheria ilivyo), kuteka hisia za makundi maalumu hasa wanawake na shinikizo kutoka inner circle ya chama chake (japo Magu alikuwa Rais ila hawa bado hawagusiki na yeye alifahamu hilo) hivyo Magu...hakuwa na namna zaidi ya kumfanya VP....'Magu..is innocent'...kinachoendelea Sasa hastahili lawama ni lazima tukubali nchi yetu kwa Sasa inaongozwa na familia kadhaa zenye ushawishi mkubwa kama ilivyo familia ya Bush huko USA au familia ya Gandhi huko India.

Mtu mmoja mwenye madaraka makubwa hawezi kukwepa hili la 'noble' families zenye ushawishi mkubwa...labda kama katiba mpya (ikiwepo) itatue hili.
 
Okay, kwa hiyo Magufuli alijua Samia ni type za Kikwete, a full-fledged Kikweteist na bado akamchagua VP ?

Type za Kikwete, watu ambao Magufuli amekufa akiwalaani kwamba wametuchelewesha, wamejimilikisha mali za masikini wachafu, wametuuzia madawa ya kulevya ili watoto wetu wateme udenda, wajinga wameingia mikataba ya kipumbavu, wanasafiri kula ma allowance na kukalia viti vya business class wakati sisi tunakalia mavi ya ng’ombe pembeni ya mgodi wa Mwadui.

wamewapa bandari kavu Wayemeni na Wahindi ili wajengewe ma apartment Mikocheni kwa majina ya watoto wao, wamezima mitambo Kidatu na Mtera ili wake zao watuuzie generators, viongozi waliopuuzia kutujengea hospitali kwa sababu wao wanatibiwa John Hopkins University Hospital kwa hela ya ushuru wa masikini wa kutupwa walio import bodaboda na bajaji - Magufuli alijua Samia ndio type hizo na bado akamchagua vipi?

Ndo maana nasema Magufuli hakumjua Samia!

^Ngoja niwaambie ukweli hapahapa. Mimi nilitaka Dkt. Mwinyi ndiye awe Makamu wangu.^
 
Ndio maana nikasema kuna sababu za yeye kuteuliwa VP ikiwemo Uzanzibari (kama sheria ilivyo), kuteka hisia za makundi maalumu hasa wanawake na shinikizo kutoka inner circle ya chama chake (japo Magu alikuwa Rais ila hawa bado hawagusiki na yeye alifahamu hilo) hivyo Magu...hakuwa na namna zaidi ya kumfanya VP....'Magu..is innocent'...kinachoendelea Sasa hastahili lawama ni lazima tukubali nchi yetu kwa Sasa inaongozwa na familia kadhaa zenye ushawishi mkubwa kama ilivyo familia ya Bush huko USA au familia ya Gandhi huko India.

Mtu mmoja mwenye madaraka makubwa hawezi kukwepa hili la 'noble' families zenye ushawishi mkubwa...labda kama katiba mpya (ikiwepo) itatue hili.
The Guptas (SA) umewasahau na the Kenyattas and the Odingas hapo jirani uchochoroni 🙂
 
Kutokana na siasa za Tanzania mpaka sasa hadi Mh. Rais kubadili baraza. Napenda kuleta ujumbe huu kwa kumpongeza Mh. Rais kwa nzanuri ya kuongoza Taifa letu.

Kilichotokea hivi makaribuni mpaka kutengua baadhi ya mawaziri nafikiri halikuwa tarajio la wananchi wengi nchini. Kwa sasa watanzania maskini wanahitaji maisha mazuri yasiyo na tozo kubwa, ukosefu wa maji na kukatika katika kwa nishati ya umeme.

Pia wananchi walio wengi wnatamani kuona yale yaliyoachwa na Hayati Magufuli yanaekelezwa kwa vitendo. Kutuambia tu nabadili mawaziri ni mbinu ya kuwapoteza wananchi na kuwafanya wasijadiri matatizo na kuanza kurumbana juu ya nani kaachwa nani kawekwa.
USHAURI KWA WAPINZANI.

Naomba wapinzani wakiri kuwa walifanya kosa kubwa kumdhraru Hayati Magufuli na kumfanya kuwa alifanya dhambi kubwa Tanzania, wanachotakiwa kuomba mungu kumpata mtu mwenye itikadi na misimamo kama ya Hayati Magufuli ili waweze kuendana na siasa za sasa.

Ahsanteni
 
Kutokana na siasa za Tanzania mpaka sasa hadi Mh. Rais kubadili baraza. Napenda kuleta ujumbe huu kwa kumpongeza Mh. Rais kwa nzanuri ya kuongoza Taifa letu. Kilichotokea hivi makaribuni mpaka kutengua baadhi ya mawaziri nafikiri halikuwa tarajio la wananchi wengi nchini. Kwa sasa watanzania maskini wanahitaji maisha mazuri yasiyo na tozo kubwa, ukosefu wa maji na kukatika katika kwa nishati ya umeme. Pia wananchi walio wengi wnatamani kuona yale yaliyoachwa na Hayati Magufuli yanaekelezwa kwa vitendo. Kutuambia tu nabadili mawaziri ni mbinu ya kuwapoteza wananchi na kuwafanya wasijadiri matatizo na kuanza kurumbana juu ya nani kaachwa nani kawekwa.
USHAURI KWA WAPINZANI
Naomba wapinzani wakiri kuwa walifanya kosa kubwa kumdhraru Hayati Magufuli na kumfanya kuwa alifanya dhambi kubwa Tanzania, wanachotakiwa kuomba mungu kumpata mtu mwenye itikadi na misimamo kama ya Hayati Magufuli ili waweze kuendana na siasa za sasa.
Ahsanteni
Unataka wamheshimu kwa kupora uchaguzi,kuzuia mikutano ya Vyama kuwabambikizia Kesi za Uongo Kumpiga risasi Tundu lissu

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Wapinzani waombe apatikane mtu kama nani?leo Tundu Lissu aombe apatikane Jiwe mwingine😳
 
SSH kachemka hapa.
Kachemka kwa sababu yule Prof sio politician ni mtaalamu anayajua madini vizuri... ana reasoning, sio mwizi kama boss wake, enzi zake tume ya madini alijua kulinda masilahi ya nchi... sasa makanjanja design ya kina Dotto lazima wawe inferior, yaani wanamuacha Msanjira mwizi na mlevi wanamtoa mbobezi.... ajabu kuu.

Mi nilitegemea Manya awe waziri kamili kumbe ndio wanamtoa kwa fitina za kijinga.
 
Mnapanda presha bure tuu haya ni mambo ya kawaida nchi zetu. Kenyatta aliandaa mwanae kuongoza na kaja kuwa kiongozi mzuri tuu. Mwinyi naye aliandaa mwanaye. Nyerere aliaandaa wakina Mkapa kama wanae akaja kuongoza. Sasa mnashangaa nini? Mtoto wa Museveni kuna siku atakuja kumrithi baba yake. Mnataka watoto wa vigogo wa CCM waadhibiwe kwa kunyimwa nafasi za uongozi kwa sababu ya majina yao? Nayo siyo haki.
Sio huyu muuza ngada!
 
Back
Top Bottom