Yani hata jiwe angekuwa ndo Rais wa hii nchi, bendera ingepepea nusu mlingoti tu, malkia ni mkuu wa nchi za JUMUIYA ya MADOLA, Tanzania ni moja wapo. Na malkia aliipatia uhuru TanganyikaHuyu atakuja kufanya hii nchi mwanamke asije tena kuongoza maisha yote.