Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Wakuu:
✓Ifike mahali tukubaliane kuwa hakuna anayeijua kesho yake.
✓Ifike mahali tukubaliane kuwa kila mtu anazalisha ili ajikwamue kimaisha akiwa bado hai!
✓Ifike mahali tukubaliane vile vile kuwa kuna haja ya kupitia upya suala zima la matumizi ya Kikokotoo kwenye mafao ya wafanyakazi wa nchi hii!
Nashauri lifanyike moja au yote mawili:
1. Mfanyakazi aruhusiwe kuchukua fedha zake kadri itakavyompendeza.
2. Mfanyakazi akopesheke kwenye taasisi za fedha kwa dhamana ya Michango yake kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii.
Wafanyakazi kumbukeni kuwa ajenda hii ni muhimu kwa sasa kuliko mapambio ya kusifu na kuabudu!