Rais Samia atangazie upya suala la Kikokotoo cha Mafao

Sheria hii wakati inatangazwa aisee nilikuwa Capripoint Mwanza, nadhani saivi panaitwa Caprikona.. Niliumia sana na kutembea kwa uchungu mkubwa sana mpaka Pasiansi..nakufakamia mafenesi cha ajabu nikaonana na jamaa yangu wa utotoni akiwa kwenye Foreter kali akanishtua, aisee nikiwa nimebeba fenesi niliona aibu sana huku akinitambulisha kwa chenchede wake akidai mimi ndo nilikuwa naongoza Darasani enzi hizo huko Wilaya ya Kishap..

Dah! siku hii sheria ikiondolewa nahisi wafanyakazi wengi hasa wa sekta binafsi watafurahi sana!
 
Umeongea point sana mkuu tatizo hawa viongoz wetu hujiona wao tu ndio wenye haki zaid kuliko wengine mim hua nashangaa icho kikokotoo kwann hakitumiki kwao ila kwa raia wengine
 
Mtetezi pekee wa wanyonge alikua Kikwete, hawa wengine ni zumbukuku tu
Ndo maana kipindi chake mzunguko wa fedha ulikuwepo kidogo kuliko sasa hali ya sasa.

Kwani kipindi cha kikwete kuna baadhi ya Wafanyakazi waliachakazi na kwenda kujiajiri baada kupata mafao yao.
Hili swala Mama aliangalie kwa makini na kulitolea ufafanuzi.
 
Hii ni sheria kandamizi kabisa, walioitunga haiwaathiri kwa kuwa wao wanapata mafao yao bila kuchangia, wanaochangia wanakandamizwa, Ni jambo la ajabu sana kuona kuwa mtu amechangia michango yake kwa jasho halafu wachache wanataka afe bila lutumia!!
Hivi haionekani kama ni wizi!!! na udhulumaji wa wazi?
Mfano hai ni wa ndugu yangu ambaye alipunguzwa kazini mwaka jana.
Alitafuta kazi kwa muda wa miezi nane bila kupata kazi.
Ndo akamua kwenda kudai mafao yake NSSF wakamuliza kwa nini hukufungua mafao baada ya kupunguzwa kazi akawajibu nilikuwa natafuta kazi nimekosa .
Na sasa nataka kuchukua fedha zangu zote .

Wakamwambia andike Barua ambayo watamjibu baada ya mwezi na kuangalia watampa fao gani.

Baada NSSF hawaeleweki aliamua kwenda Mozambique kutafuta maisha ili familia yake inapitia ktk wakati mgumu sana.
 
Very sad Mkuu Zambia Namibia Boswana nk hakuna masheria kandamizi kama haya huku TZ
 
Ndo maana kipindi chake mzunguko wa fedha ulikuwepo kidogo kuliko sasa hali ya sasa.

Kwani kipindi cha kikwete kuna baadhi ya Wafanyakazi waliachakazi na kwenda kujiajiri baada kupata mafao yao.
Hili swala Mama aliangalie kwa makini na kulitolea ufafanuzi.
Well said Mkuu
 
Kipaumbele cha raisi wa sasa ni kukusanya Tozo tu kwa njia yoyote ile na sio kurahisha maisha ya raia wake
 
Huu ni upuuzi, mfanyakazi aruhusiwe kuchukua hadi 80% ya mafao yake kama kiinua mgongo ili akaendelee na uwekezaji ambao utamsaidia kujikwamua badala ya kusubiri pensheni ya kila mwezi ambayo mara nyingi inachelewa............mfanyakazi kafanya kazi ya kulipwa mshahara hadi kastaafu, kwa nini mnalazimisha kumlipa kila mwezi utafikiri bado yupo kazini? wapeni pesa zao zote bhanaa, kama ni ku handle pesa nyingi wana uzoefu mkubwa hadi wamefika umri wa kustaafu. Mnachotakiwa kufanya ni kuwapa elimu ya kuwawezesha kuwa na uwekezaji utakaowapa kipato endelevu..........haya mambo ndo yanafanya watu wanajiondoa kwenye vyama vya wafanyakazi, vinaonekana kama havina msaada wowote.
 
Mimi kama mimi aldeo nachangia

Nssf wabadilike waje na mtazamo wao kivyao hii itawasaidia kuendesha shirika kwa faida bila changamoto Kama hizi baina ya shirika na NSSF.

Katika kuongelea maslai mapana ya mtanzania huwa linaanza na mtanzania mwenyewe Sasa hili la NSSF wacha tuanzie sie wahanga wa kutokupata pesa zetu bila kujali n kiasi gani na kwa muda gani.

Nimeshajaribu kutafuta namna ya kupata mafao haya nikiwa bado sijafikisha 55yrs lakini imekua ngumu sana nishaenda kuomba kufungua madai ya kulipwa kwa zaid ya mikoa mitatu Yan unazungushwa wee mwishowe wanakwambia andika barua baada ya hapo hutopata jibu kamwe hii ndo tabia ya mameneja Kanda kuanzia Arusha, Kilimanjaro, shinyanga, kinondoni yan wanakupa sababu ambazo n za kitoto sana mfano unaeza ambiwa uende ukafungue madai kwenye tawi lilipokuwa linapokea mchango wako Sasa mwajiri ofisi ipo DSM mwajiriwa kazi n kasulu na hata hajawahi kufika dar sababu HQ ipo dar Basi process zote zinafanyikia dar sasa ukitaka kuchukua pesa zako baada ya kukomeshwa ajira utaanza vizuri mwishoni unaambiwa uende kule ulipokuwa unachangia sasa tangu mwanzo hawakuliona hilo.
Nilishawahi kusafirishwa mikoa miwili tofauti kufuatilia taarifa ya matibabu ya ajali yan wanakuona kabisa unamagongo wanakutuma kama mtoto tena bila huruma alafu Bora hata upate hxo pesa isaidie Ila wap utaambulia kupoteza hata kile ulichokuwa nacho na madeni kipao kwenye hili meneja wa NSSF SHINYANGA mwaka 2020-2021 MUNGU anilipie kwa majibu na dharau ulizonionyeshea akifutiwa na wa Arusha huyu ndo anasimama nje kabisa yan kama umekuja kudai mafao anakurudisha hapo n bora hata akuelekeze uelewe Ila anakufokea kama mtoto huyu ndo alinifanya niende tawi lingine kufungua madai.

SULULISHO LA MADAI BILA SHIRIKA KUTETEREKA

Napendekeza na nilishawaambia baadhi ya watumishi wa NSSF Arusha na shyinyanga kutokana na malalamiko kuwa mengi na msongamano kuwa mkubwa wa maombi pili tunapoelekea watu wengi wanastaafu na kupoteza ajira Basi iwapendeze wake na huu mpango wangu niliouona kuwa n wa kiukombozi na usawa na shirika likawa stable milele kwa hatua hizi mbili.

1. Shirika liendeshwe serious kibiashara kwa maana investment zote walizonazo zifanye kazi kwa lazima na return ya faida ionekane nakila kitega uchumi kioewe target kulingana na Hali halisi ya eneo zaid kibiashara hapa namaanisha. (Majengo ya kibiashara, Viwanda walivyoingia Shea, Nyumba za kuishi wanazojenga na kuuza, hotel walizoingia ubia na baadhi ya miradi au mikopo walifadhili kibiashara ilete +return kwa kila kipindi walichopangiwa.

2. Shirika lipunguze watumishi wasiokuwa na tija utakuta meza moja Kuna watu watatu wote Wana title moja au wanafanya kazi zinazofana hii nimeona NSSF ARUSHA pili wote hao Bora hata upate hata mmoja anachojua kuhusu kazi ya jina lake Yan n zero mfano Kuna dada mmoja yupo ghorofa ya kwanza mwishon wote na bosi wake hawajui formula ya mafao, hawajui benefits za mtu kuwa mwanachama wa hiari Yan wanakuimbia eti utapata matibabu bure na mkopo Sasa nikawauliza mie tayari Nina bima ya afya kutoka jubilee pia ninamausiano mazuri na absa+crdb benki hvyo nakopesheka vizuri kule wakawa hawana majibu wanaanza kupigiana simu eti mie huyu nimemshindwa Yan kifupi NSSF ARUSHA na kwingineko kuna watumishi wanaenda kureport na kusubiri muda wa kazi uishe waende kulala yan hawafanyi chochote na Ni mzigo na hasara kwa shirika.

3. Ofisi zote za NSSF zilizopanga ziondoke maramoja kwani Majengo yao waliojenga yapo wazi. Pia litumie network base ya wateja wake kama mashirika na kampuni kubwa kuwapa nafasi ya kupanga kwani Majengo ya NSSF n mazuri na yanapangishika nashangaa pale Moshi na Arusha Kuna floor zipo wazi.

4. HILI NDO MUHIMU SASA YAANI WATENGEZE VOCHA AMBAZO MWANACHAMA ANAEZA KUUZIA MWANACHAMA MWENZAKE AU MTU MWINGINE KADRI WATAKAVYOONA ITALETA TIJA.

"Hii itaondoa kelele na kuleta tija na ufanisi na kuacha uchumi wa shirika kuwa stable maradufu YAANI mwanachama akiwa anataka kuchukua pesa zake hana haja ya kwenda NSSF kudai pesa yeye anaenda kwenye gulio la hisa za NSSF anauza kwa KADRI ya bei ya soko lilivyo kwakua NSSF tayari inavitega uchumi vingi na vikubwa hvyo wakipatikana watu wenye vichwa vizuri Basi shirika lazima litengeneza faida maradufu kila siku mana zile hisa mfano aldeo michango yake na mafao n 20m na kila hisa moja ya NSSF kiunachama n 50k hvyo nitakuwa na hisa 400 hapa nikiamua kuuza labda hisa 100 au 200 au zote naingia sokoni Yan mnadani huu n mnada wa wanachama ambao wameamua kufanya Biashara ya kuwekeza pesa au kwa mashirika au watu binafsi ambao wanataka kuendelea kuwa na hisa nyingi za SHIRIKA.

Kwaleo naomba niishie hapa Ila kama NSSF mtahitaji zaidi wazo langu nitafuteni niwaongezee ideas pia siku mkiamua kutumia wazo hili msisite kutoa credit kwangu hii itasaidia kuwamotivate wale wenye mawazo chanya kuwa huru kuleta mawazo mazuri ili mnufaike vizuri
 
Aione na kuisoma Chifu wetu Mama
 
Back
Top Bottom