Rais Samia atangazie upya suala la Kikokotoo cha Mafao

Rais Samia atangazie upya suala la Kikokotoo cha Mafao

Ni Vyema wastaafu wakawa na wakilishi wao bungeni ili kupigania haki za wastaafu, msiwategemee wabunge hasa wa ccm kabisa kwani ubinafsi wao tunawajua! Bora hata walipokuwepo wabunge wa upinzani walitetea sana hili.
 
Mkuu mbona hata mimi nakula sana fenesi barabarani...ila huwa napaka mafuta ya kula mikononi kwanza!
Sema kwa mafuta safi sana, lkn siku hiyo nilikuwa na mtindio wa ubongo nikasahau sasa pata picha afu unakutana na mwanao wa enzi huku umetapakaa mautomvu ya fene
 
Back
Top Bottom