Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Si dhani kama huyu maza ana muda wa kutetea wanyonge! Anachoangalia ni kuturundikia mitozo ya kila aina!Wakuu:
✓Ifike mahali tukubaliane kuwa hakuna anayeijua kesho yake.
✓Ifike mahali tukubaliane kuwa kila mtu anazalisha ili ajikwamue kimaisha akiwa bado hai!
✓Ifike mahali tukubaliane vile vile kuwa kuna haja ya kupitia upya suala zima la matumizi ya Kikokotoo kwenye mafao ya wafanyakazi wa nchi hii!
Nashauri lifanyike moja au yote mawili:
1. Mfanyakazi aruhusiwe kuchukua fedha zake kadri itakavyompendeza.
2. Mfanyakazi akopesheke kwenye taasisi za fedha kwa dhamana ya Michango yake kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii.
Wafanyakazi kumbukeni kuwa ajenda hii ni muhimu kwa sasa kuliko mapambio ya kusifu na kuabudu!View attachment 1979524
Vyama vya wafanyakazi viamke... Viweke mashinikizo!Si dhani kama huyu maza ana muda wa kutetea wanyonge! Anachoangalia ni kuturundikia mitozo ya kila aina!
Vikiweka mashinikizo vitapata kesi ya ugaidi.Vyama vya wafanyakazi viamke... Viweke mashinikizo!
Hii nchi ina vichaa wengi sanaVikiweka mashinikizo vitapata kesi ya ugaidi.
TUCTA mmelala sana....Vyama vya wafanyakazi viamke... Viweke mashinikizo!
Zumbukuku Ulimwengu Upo HukuMtetezi pekee wa wanyonge alikua Kikwete, hawa wengine ni zumbukuku tu
Kazi ikianza kumuamsha ataangalia namna gani afanye kwa nafasi yake, CCM bila mashinikizo hawaendi.
Vyama vya wafanyakazi viamke vianze kufanya lobbying...Mama Hana moyo wa kishamba kama Yule marehemu
Hakika ni kweli kabisa...