Pre GE2025 Rais Samia atavunja Rekodi ya Jakaya Kikwete ya 2005 kwa kupata kura nyingi tangia kuanza kwa Mfumo wa vyama vingi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuanzia leo naanza kuunga mkono nyuzi zako unazochapisha hapa jamvini, maana nimegundua wewe ni miongoni mwa watu wasiompenda Samia kama mimi.

Na ndiyo maana unampa ushauri potofu na sifa za kijinga ili aendelee kujisahau halafu 2025 adondoke kama embe dodo.

Hongera sana Lucas Mwashambwa kwa akili hii kubwa, nimechelewa sana kung'amua.
 
Lucas yuko kwenye payroll ya bilionea Sugu Moto Chini πŸ”₯
 
Chawa uma hapo hapo usiachie hadi uteuzi uje bana meno chawa
 
Halafu wanatoka hapo wanampa Dotto magari shavu.

IΕ‚a MaCCM yana roho mbaya sana, wawakumbe na vijana wao wa JF pia, hata mwaliko Kizimkazi kimya.

Kijana amempambania sana bi-tozo anahitaji recognition na yeye.
 
Kweli wewe ni sifuri kabisa kichwani. Kwani mara ya kwanza Rais Samia aligombea lini Urais na mgombea Mwenza wake alikuwa ni nani? Yaani wewe huwa hujitambui kabisa .unafanyaga kazi ya kukurupuka tu kama kuku anayetaga
 
Utaendelea kuumia sana na chuki zako binafsi kwa Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi anayeendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania.
 
Kweli wewe ni sifuri kabisa kichwani. Kwani mara ya kwanza Rais Samia aligombea lini Urais na mgombea Mwenza wake alikuwa ni nani? Yaani wewe huwa hujitambui kabisa .unafanyaga kazi ya kukurupuka tu kama kuku anayetaga
Wewe ni Simbilisi

Mh Rais Dr Samia yuko madarakani Kwa kura zipi?

Wewe ndio Sababu Dr Mwansasu PhD amekushtukia Kwa kuwapaka Viongozi mafuta Kwa mgongo wa chupa

Bado Kafulila na Makonda ndio hawajagundua Michezo Yako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Unadhani kwanini Moto Chini alikuzuia kuendelea Kutangaza namba Yako ya Simu mitandaoni?πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ”₯πŸ”₯

Nimemaliza baadae ulale Unono πŸ˜‚
 
Sio shabiki wa siasa though siasa runs the country ktk mambo karibia yote. Kuhusu siasa za nchi hii its obvious ccm will again take a lead, hata kwa bao la...nikiwaangalia watanzania walivyo na vile wapinzani wa ccm walivyo naona kabisa ccm itatumia techniques zake za mara zote na itaishinda. Watanzania wanapenda kubadili utawala lakin pa kuanzia wanakosa. So ikifika wakati wa uchaguzi wanaona bora ccm iendelee na hata kama hawakuridhika na mchakato wake ila wanasemaga aah patelea mbali haiwahusu.
 
Samia itakuwa awamu ya pili ya utawala wake
 
Hili jitu huwa nawaambia halina akili japo lipo UWT pale
 
CCM ndio tumaini la watanzania katika kuwaletea maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…