Rais Samia atembelea ofisi za Arab Contractors nchini Misri wanaojenga Bwawa la Nyerere

Rais Samia atembelea ofisi za Arab Contractors nchini Misri wanaojenga Bwawa la Nyerere

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais Samia ametembelea ofisi za kampuni inayojenga bwawa la Nyerere iitwayo Arab Cintractors nchini Misri.

Rais Samia pia amekutana na wawekezaji mbalimbali wa nchi hiyo.

Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Arab Contractors kumbe ni kampuni kubwa sana inayiongoza barani Afrika katika mambo ya Umeme.

Chanzo: ITV habari

My take: Nape Nnauye anapata majawabu ya hoja yake taratibu!
 
Wakina mama bwana, mulamula anasema arab contaractor ni kampuni kubwa, unakumbuka mume baada ya kuolewa? Tayari ulisha mlipa na alishaanza ya ujenzi , ulikuwa hujui ni kampuni kubwa? Kazi alipewaje na kwanini amelipwa?
Amewajibu kisayansi wale viherehere!
 
Safii sana tunawataka waongeze kasi ya ujenzi ukamilike mapema ile janjawid ya makamba ifilie mbali!

Haitoweza Mkuu kufia Mbali[emoji2957][emoji2957]

Nasema Huku Roho inauma[emoji30]

Watu wengi wanasema Kuna kundi halitaki Mradi Ukamilike!

Sijui Lisemwalo?

Ila MUNGU abariki mradi Ukamilike mapema Aisee na Uanze Kufanya Kazi Maanaaa Acha tu

Ndio Maana Tunataja MUNGU [emoji120]
 
R.I.P Magufuli.

Ulikuwa unaona mbali sana kujaribu kukuchafua wewe ni sawa na kumfuata mamba kwenye kina kirefu cha maji.
Lisu, Lema, Ulimwengu, Assad, Nape, Makamba, Mungu atawalaani
Mkuu, ongea huku unaweka kumbukumbu sawa juu ya akina Makonda, Sabaya, Kingai, Mahita Jr, Ramadhan, majaji wenye maelekezo maalum pamoja na mabaradhuli wengine walio watesi wa wapenda mabadiliko ya kweli hapa nchini.
 
Back
Top Bottom