Rais Samia atembelea ofisi za Arab Contractors nchini Misri wanaojenga Bwawa la Nyerere

Mkuu, ongea huku unaweka kumbukumbu sawa juu ya akina Makonda, Sabaya, Kingai, Mahita Jr, Ramadhan, majaji wenye maelekezo maalum pamoja na mabaradhuli wengine walio watesi wa wapenda mabadiliko ya kweli hapa nchini.
Hivi ile interview ya Kikeke nani aliongea
 
Sasa kigeni kipi hapa....yaani walikuwa hawajui kuwa ARAB CONTRACTOR ni giant kule Misri?....hawa jamaa wapo toka enzi 1950's huko tena wana team yao ya mpira iliitwa Arab contractor bila shaka ilishawahi kuleta kilio kwenye team za kariakoo hapa..

Arab contractors na Elsewedy ni makampuni makubwa sana na yenye mtaji mkuubwa sana...hatupaswi kuwatilia shaka hata kidogo na kuwatilia shaka basi tutakuwa tunalack exposure na vilaza...
 
Tarehe 25Nov 2021.....Kilema..ni alidanganya bungeni...mpuuzi yule kibushutii
 
R.I.P Magufuli.

Ulikuwa unaona mbali sana kujaribu kukuchafua wewe ni sawa na kumfuata mamba kwenye kina kirefu cha maji.
Lisu ,Lema ,Ulimwengu, Assad, Nape, Makamba,Mungu atawalaani
Hata watembelee wapi tunataka kujua Fedha za mikopo zilienda wapi? Ina maana SSH alikuwa haujui kinachofanyika ndio maana kaamua kwenda mwenyewe kujionea na kukagua hizo hisabati. Magu alikuwa mjanja anayekula mwenyewe bila kuwapa wenzake. Nape kapiga pasi ndefu sana. Jiulize why Magufuli aligoma.kwenda kutembelea watu aliowapa kazi kubwa na ngumu. Jibu ni dogo sana alkuwa mwizi.
 
Wakina mama bwana, mulamula anasema arab contaractor ni kampuni kubwa, unakumbuka mume baada ya kuolewa? Tayari ulisha mlipa na alishaanza ya ujenzi , ulikuwa hujui ni kampuni kubwa? Kazi alipewaje na kwanini amelipwa?
Only in Tanzania
 
Hivi niliota au! Kuwa Kuna Kiongozi mkubwa Hapa nchini alisema Kampuni ya Arab Contractor haina uwezo/ uwezo mdogo was kujenga bwawa Kama laNyerere!
 
R.I.P Magufuli.

Ulikuwa unaona mbali sana kujaribu kukuchafua wewe ni sawa na kumfuata mamba kwenye kina kirefu cha maji.
Lisu ,Lema ,Ulimwengu, Assad, Nape, Makamba,Mungu atawalaani
Aliyempoteza Ben Saanane yeye halaaniwi?
 
Rais Samia ametembelea ofisi za kampuni inayojenga bwawa la Nyerere iitwayo Arab Cintractors nchini Misri.

Rais Samia pia amekutana na wawekezaji mbalimbali wa nchi hiyo.

Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Arab Contractors kumbe ni kampuni kubwa sana inayiongoza barani Afrika katika mambo ya Umeme.

Chanzo: ITV habari

My take; Nape Nnauye anapata majawabu ya hoja yake taratibu!
Yaleyale ya safari za JK, wakisema siku mbili wao ni Jumatatu anapofika, Jumanne na Jumatano anapoondoka!
 
Rais Samia ametembelea ofisi za kampuni inayojenga bwawa la Nyerere iitwayo Arab Cintractors nchini Misri.

Rais Samia pia amekutana na wawekezaji mbalimbali wa nchi hiyo.

Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Arab Contractors kumbe ni kampuni kubwa sana inayiongoza barani Afrika katika mambo ya Umeme.

Chanzo: ITV habari

My take; Nape Nnauye anapata majawabu ya hoja yake taratibu!

January Makamba kasema hao eti hawana winchi za kunyenyulia ile milango mikubwa ya kufungia Bwawa la Nyerere ili waanze kujaza maji. Yaani... Aaaarrghhw
 
Rais Samia ametembelea ofisi za kampuni inayojenga bwawa la Nyerere iitwayo Arab Cintractors nchini Misri.

Rais Samia pia amekutana na wawekezaji mbalimbali wa nchi hiyo.

Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Arab Contractors kumbe ni kampuni kubwa sana inayiongoza barani Afrika katika mambo ya Umeme.

Chanzo: ITV habari

My take; Nape Nnauye anapata majawabu ya hoja yake taratibu!

Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Arab Contractors kumbe ni kampuni kubwa sana inayiongoza barani Afrika katika mambo ya Umeme.
Makamu wa Rais Philip Mpango alisema haina uwezo wa kazi, kwahiyo ukubwa wa pua unawiana na mafua yanayotoka!?
 
Hata watembelee wapi tunataka kujua Fedha za mikopo zilienda wapi? Ina maana SSH alikuwa haujui kinachofanyika ndio maana kaamua kwenda mwenyewe kujionea na kukagua hizo hisabati. Magu alikuwa mjanja anayekula mwenyewe bila kuwapa wenzake. Nape kapiga pasi ndefu sana. Jiulize why Magufuli aligoma.kwenda kutembelea watu aliowapa kazi kubwa na ngumu. Jibu ni dogo sana alkuwa mwizi.
Wewe siyo MWIZI?
 
Rais Samia ametembelea ofisi za kampuni inayojenga bwawa la Nyerere iitwayo Arab Cintractors nchini Misri.

Rais Samia pia amekutana na wawekezaji mbalimbali wa nchi hiyo.

Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Arab Contractors kumbe ni kampuni kubwa sana inayiongoza barani Afrika katika mambo ya Umeme.

Chanzo: ITV habari

My take; Nape Nnauye anapata majawabu ya hoja yake taratibu!
Nape kasema CAG afanye uchunguzi na uchunguzi haujafanyika kwa hiyo hamna jibu mlilo mpa.
 
Rais Samia ametembelea ofisi za kampuni inayojenga bwawa la Nyerere iitwayo Arab Cintractors nchini Misri.

Rais Samia pia amekutana na wawekezaji mbalimbali wa nchi hiyo.

Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Arab Contractors kumbe ni kampuni kubwa sana inayiongoza barani Afrika katika mambo ya Umeme.

Chanzo: ITV habari

My take; Nape Nnauye anapata majawabu ya hoja yake taratibu!
Comment ya Mulamula ni ya ki-layman. Unaposema kampuni ni kubwa sana, ni kwa vigezo gani?

Je, ni ni ukibwa wa workforce, technology, mtaji, ukubwa wa majengo ya ofisi, turnover, au kwa kigezo gani?
 
"Sana" inamaanisha ukubwa wa kila kitu bwashee!
 
Sasa kigeni kipi hapa....yaani walikuwa hawajui kuwa ARAB CONTRACTOR ni giant kule Misri?....hawa jamaa wapo toka enzi 1950's huko tena wana team yao ya mpira iliitwa Arab contractor bila shaka ilishawahi kuleta kilio kwenye team za kariakoo hapa..

Arab contractors na Elsewedy ni makampuni makubwa sana na yenye mtaji mkuubwa sana...hatupaswi kuwatilia shaka hata kidogo na kuwatilia shaka basi tutakuwa tunalack exposure na vilaza...
Mambo mengine yanashangaza sana, kulikuwa haukuna haja ya kusema hili, inaonekana kulikuwa kuna maneno kuwa hii kampuni haina uwezo, ukiingatia wamechelewesha mradi kwa zaidi ya mwaka sasa, huenda Mama akaamua kutengeneza safari ili atumie fursa hiyo kwenda kuichunguza kampuni hiyo.

Swali ikiwa tayari kampuni hiyo imeshalipwa kiasi kikubwa cha fedha je wangekuta kampuni hiyo haina uwezo wangesema?
 
Mulamula kaenda na Mr wake huko? Naona wamama wanaruka angani tu wenyewe
 
Back
Top Bottom