Freiston
JF-Expert Member
- Oct 25, 2020
- 302
- 340
Niko ICU ndugu ynguMama anajua huku aliowapa hela wamepigwa vitu vitatu vizito kichwani..š¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko ICU ndugu ynguMama anajua huku aliowapa hela wamepigwa vitu vitatu vizito kichwani..š¤£
Toka huko maana jumapili pia utapigwa vyengine..šNiko ICU ndugu yngu
Hahaaaaaaa....Hayo ni mambo ya kawaida fundi katika shughuli za ujenzi!
Ni rahisi kupunguza wizi huwezi kuzia kabisa hao wapigaji nao ni binaadamu!Hahaaaaaaa....
10% ya watu imepatikana hivyo,nyie endeleeni na "hayo ni mambo ya kawaida" huku watu wachache wanafaidika kwa gharama ya Watanzania wote.