johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kuna mmoja umeogopa kumtaja!R.I.P Magufuli.
Ulikuwa unaona mbali sana kujaribu kukuchafua wewe ni sawa na kumfuata mamba kwenye kina kirefu cha maji.
Lisu, Lema, Ulimwengu, Assad Mungu atawalaani
Uchunguzi ndugu, sio mbwembwe za kupeleka ushungi.My take; Nape Nnauye anapata majawabu ya hoja yake taratibu
Nape anaumbuliwa kisayansi!Huyu Mama Malumula Kumbe naye ni Mchumia tumbo kama akina Mwigulu!
Hahahaaaa. Mulamula ni mwanadiplomasia makini sana!Uchunguzi ndugu, sio mbwembwe za kupeleka ushungi.
Amewajibu kisayansi wale viherehere!Wakina mama bwana, mulamula anasema arab contaractor ni kampuni kubwa, unakumbuka mume baada ya kuolewa? Tayari ulisha mlipa na alishaanza ya ujenzi , ulikuwa hujui ni kampuni kubwa? Kazi alipewaje na kwanini amelipwa?
Safii sana tunawataka waongeze kasi ya ujenzi ukamilike mapema ile janjawid ya makamba ifilie mbali!
Mkuu, ongea huku unaweka kumbukumbu sawa juu ya akina Makonda, Sabaya, Kingai, Mahita Jr, Ramadhan, majaji wenye maelekezo maalum pamoja na mabaradhuli wengine walio watesi wa wapenda mabadiliko ya kweli hapa nchini.R.I.P Magufuli.
Ulikuwa unaona mbali sana kujaribu kukuchafua wewe ni sawa na kumfuata mamba kwenye kina kirefu cha maji.
Lisu, Lema, Ulimwengu, Assad, Nape, Makamba, Mungu atawalaani
ITV!Picha wapi