Hivi ile interview ya Kikeke nani aliongeaMkuu, ongea huku unaweka kumbukumbu sawa juu ya akina Makonda, Sabaya, Kingai, Mahita Jr, Ramadhan, majaji wenye maelekezo maalum pamoja na mabaradhuli wengine walio watesi wa wapenda mabadiliko ya kweli hapa nchini.
Hata watembelee wapi tunataka kujua Fedha za mikopo zilienda wapi? Ina maana SSH alikuwa haujui kinachofanyika ndio maana kaamua kwenda mwenyewe kujionea na kukagua hizo hisabati. Magu alikuwa mjanja anayekula mwenyewe bila kuwapa wenzake. Nape kapiga pasi ndefu sana. Jiulize why Magufuli aligoma.kwenda kutembelea watu aliowapa kazi kubwa na ngumu. Jibu ni dogo sana alkuwa mwizi.R.I.P Magufuli.
Ulikuwa unaona mbali sana kujaribu kukuchafua wewe ni sawa na kumfuata mamba kwenye kina kirefu cha maji.
Lisu ,Lema ,Ulimwengu, Assad, Nape, Makamba,Mungu atawalaani
Only in TanzaniaWakina mama bwana, mulamula anasema arab contaractor ni kampuni kubwa, unakumbuka mume baada ya kuolewa? Tayari ulisha mlipa na alishaanza ya ujenzi , ulikuwa hujui ni kampuni kubwa? Kazi alipewaje na kwanini amelipwa?
Hayo ni mambo ya kawaida fundi katika shughuli za ujenzi!Sisi wengine tuna "sub-contract" huko, tunajua pia "Arab Contractors" wameuza contract hiyo.
Aliyempoteza Ben Saanane yeye halaaniwi?R.I.P Magufuli.
Ulikuwa unaona mbali sana kujaribu kukuchafua wewe ni sawa na kumfuata mamba kwenye kina kirefu cha maji.
Lisu ,Lema ,Ulimwengu, Assad, Nape, Makamba,Mungu atawalaani
Yaleyale ya safari za JK, wakisema siku mbili wao ni Jumatatu anapofika, Jumanne na Jumatano anapoondoka!Rais Samia ametembelea ofisi za kampuni inayojenga bwawa la Nyerere iitwayo Arab Cintractors nchini Misri.
Rais Samia pia amekutana na wawekezaji mbalimbali wa nchi hiyo.
Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Arab Contractors kumbe ni kampuni kubwa sana inayiongoza barani Afrika katika mambo ya Umeme.
Chanzo: ITV habari
My take; Nape Nnauye anapata majawabu ya hoja yake taratibu!
Rais Samia ametembelea ofisi za kampuni inayojenga bwawa la Nyerere iitwayo Arab Cintractors nchini Misri.

Makamu wa Rais Philip Mpango alisema haina uwezo wa kazi, kwahiyo ukubwa wa pua unawiana na mafua yanayotoka!?Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Arab Contractors kumbe ni kampuni kubwa sana inayiongoza barani Afrika katika mambo ya Umeme.
Mulamula: " Kumbe " Arab Contactors ni kampuni kubwa sana!Makamu wa Rais Philip Mpango alisema haina uwezo wa kazi, kwahiyo ukubwa wa pua unawiana na mafua yanayotoka!?
Wewe siyo MWIZI?Hata watembelee wapi tunataka kujua Fedha za mikopo zilienda wapi? Ina maana SSH alikuwa haujui kinachofanyika ndio maana kaamua kwenda mwenyewe kujionea na kukagua hizo hisabati. Magu alikuwa mjanja anayekula mwenyewe bila kuwapa wenzake. Nape kapiga pasi ndefu sana. Jiulize why Magufuli aligoma.kwenda kutembelea watu aliowapa kazi kubwa na ngumu. Jibu ni dogo sana alkuwa mwizi.
Amepingana na mini boss wake 🦮🐕🦺🐓Mulamula: " Kumbe " Arab Contactors ni kampuni kubwa sana!
Nape kasema CAG afanye uchunguzi na uchunguzi haujafanyika kwa hiyo hamna jibu mlilo mpa.Rais Samia ametembelea ofisi za kampuni inayojenga bwawa la Nyerere iitwayo Arab Cintractors nchini Misri.
Rais Samia pia amekutana na wawekezaji mbalimbali wa nchi hiyo.
Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Arab Contractors kumbe ni kampuni kubwa sana inayiongoza barani Afrika katika mambo ya Umeme.
Chanzo: ITV habari
My take; Nape Nnauye anapata majawabu ya hoja yake taratibu!
Comment ya Mulamula ni ya ki-layman. Unaposema kampuni ni kubwa sana, ni kwa vigezo gani?Rais Samia ametembelea ofisi za kampuni inayojenga bwawa la Nyerere iitwayo Arab Cintractors nchini Misri.
Rais Samia pia amekutana na wawekezaji mbalimbali wa nchi hiyo.
Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Arab Contractors kumbe ni kampuni kubwa sana inayiongoza barani Afrika katika mambo ya Umeme.
Chanzo: ITV habari
My take; Nape Nnauye anapata majawabu ya hoja yake taratibu!
"Sana" inamaanisha ukubwa wa kila kitu bwashee!Comment ya Mulamula ni ya ki-layman. Unaposema kampuni ni kubwa sana, ni kwa vigezo gani?
Je, ni ni ukibwa wa workforce, technology, mtaji, ukubwa wa majengo ya ofisi, turnover, au kwa kigezo gani?
Mambo mengine yanashangaza sana, kulikuwa haukuna haja ya kusema hili, inaonekana kulikuwa kuna maneno kuwa hii kampuni haina uwezo, ukiingatia wamechelewesha mradi kwa zaidi ya mwaka sasa, huenda Mama akaamua kutengeneza safari ili atumie fursa hiyo kwenda kuichunguza kampuni hiyo.Sasa kigeni kipi hapa....yaani walikuwa hawajui kuwa ARAB CONTRACTOR ni giant kule Misri?....hawa jamaa wapo toka enzi 1950's huko tena wana team yao ya mpira iliitwa Arab contractor bila shaka ilishawahi kuleta kilio kwenye team za kariakoo hapa..
Arab contractors na Elsewedy ni makampuni makubwa sana na yenye mtaji mkuubwa sana...hatupaswi kuwatilia shaka hata kidogo na kuwatilia shaka basi tutakuwa tunalack exposure na vilaza...