Rais Samia atembelea ofisi za Arab Contractors nchini Misri wanaojenga Bwawa la Nyerere

Hayo ni mambo ya kawaida fundi katika shughuli za ujenzi!
Hahaaaaaaa....
10% ya watu imepatikana hivyo,nyie endeleeni na "hayo ni mambo ya kawaida" huku watu wachache wanafaidika kwa gharama ya Watanzania wote.
 
Hahaaaaaaa....
10% ya watu imepatikana hivyo,nyie endeleeni na "hayo ni mambo ya kawaida" huku watu wachache wanafaidika kwa gharama ya Watanzania wote.
Ni rahisi kupunguza wizi huwezi kuzia kabisa hao wapigaji nao ni binaadamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…