Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

1. Chalamila
2. Ally hapi
3. Muro
4. Mataka

Nawengineo wengi hawakustahili kuwepo madarakani

Waliongoza vibaya sana enzi za mwendazake wakitumia madaraka, dola na ofisi zao vibaya on the expenses of peoples/citizens victimization and harassment

Sijuwi kwani ccm ilikuwa very brutal that way.

Mrisho Gambo japo sasa hivi ni mbunge ni mmoja wapo.

Huyu kiongozi wa Vijana ccm alitishia kumuua Lisu kwa sindano hadharani na mbeya alisema ccm haiwezi peleka maendeleo na chakuwafanya hakipo .... as if mbeya hawalipi kodi. Huyu hakustahili kabisa kuwepo madarakani
 
Hahahaaa, eti Maza Hausi.

Labda alikaidi kulipa kodi ya pango kwa wakati, na Maza Hausi hataki kukwamishwa mambo yake na huyo mpangaji
Pumbavu kabisa.. lilitaka wananchi wampokee mh kwa mabango ya matusi.... Hebu fikiria maza akutane na lile tusi linalopendwa sana na Ile pro jamaa... Eti wewe..xxxx !
 
Utenguzi wake umekuja kutokana na kauli alio toa hivi karibuni aki wasihi watu wajitokeze kwenye ziara ya mama wakiwa na mabango hata yakiwa yameandikwa matusi. Huku Mama katoa kauli hataki mabango kwenye ziara zake, kero za wananchi zina takiwa zimalizwe mapema na watendaji wake. So kwa ufupi Chalamila kaenda kinyume na kauli ya mama kuwa hataki mabango. Ipo clip inatembea mitandaoni itakufikia tu.
 
Yule kiongozi wa uvccm aliyetishia hadharani kuuwa Lisu kwa sindano nani ?

Hebu tukumbushane
 
Chalamila atenguliwa

E0NhMwdXIAAW0HL (1).jpeg
 
Msimchokoze Mama. Jana Mwigulu kasema mama ana kadi ya njano na nyekundu. Kosa dogo kadi ya njano, kosa kubwa straight red! Tayari
 
Kumbe waliwekwa kwenye rada tayari! Hapo alikuwa anasubiriwa atakayeanza kujichanganya tu. Mama anamahesabu ya mbali sana, yaani anakutimua mwenyewe unaona kabisa hapa nimezingua. Tena unatumbuliwa usiku wa manane bado upo ndotoni. Saluti sana mama
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Eti mabango ya KUMTUSI mama RUKHSA!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
"mdomo uliponza kichwa" na "mtoto umleavyo ndivyo akuavyo". Lkn pia tunajifunza kuwa "samaki mkunje angali mbichi...".

Vv
 





Mama alishasema hataki mabango...... Yeye anawaambia watu waandike matusi kabisa 😂😂🤣🤣🤣 KVANT HIZI ACHA KABISA 😜😜😜😜😜......🤸🏿‍♂️🤸🏿‍♂️🤸🏿‍♂️🤸🏿‍♂️🤸🏿‍♂️🤸🏿‍♂️🤸🏿‍♂️
 
Back
Top Bottom