Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Mama Samia anafagia uchafu woote utoke ndani ya utawala wake.Kamanda ulipigwa ban. Naona umerudi kama moto wa kifuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama Samia anafagia uchafu woote utoke ndani ya utawala wake.Kamanda ulipigwa ban. Naona umerudi kama moto wa kifuu
Nimeamka salama huku nikisikiliza vilio vya MATAGA kila kona baada ya mwenzao kupigwa karamuSawa mama ukiamka asubuhi usisahau.
Kama alikiri yeye kichaa, atachaguaje wazima kufanya nao kazi?Huyu jamaa chizi, hivi mwendazake hawa watu alikuwa anawatoa wapi!!? Na si ajabu angekuwepo bado angemvumilia kukaa naye meza moja.
Wai chattle, gwaji boy ameshatangulia kamfufua mungu wenuSamia ni Magufuli.
Samia aliteuliwa na Magufuli kama alivyoteuliwa Sabaya, Hapi, Majaliwa,Mpango etc
Acha wanafunzi wa Magufuli waumane
Atarudi kwenye uwenyekiti wake wa ccm pale IringaNasikia ni mwalimu wa chuo kikuu. Arudi kushika chaki ukizingatia bado kijana.
Amejifunza kukakaa kimya....amejifunza kula na kipofu...Nimemfatilia huyu bwana mdogo anafanyakazi smart sana, nafikiri he is mature now
Mtalalama sana matagaMakini sana mkuu
Kisa makada wa chama na wanawatukana wapinzaniHivi hawa huyo mwendazake, aliyesalimu amri kwa corona, alikuwa akiwaokota wapi?
View attachment 1814839
Namtazama huyu afande anavyopokea amri, nabaki nashangaa tu na kujiuliza, hizo nguvu hao wahuni wanazitoa wapi?
Halafu kama vile nimezinduka uzingizini, nakumbuka ile kauli ya aliyewateua ya kuwataka vichaa kama yeye.
Alihakikisha kila mkoa unatawaliwa kwa namna ile ile alivyoitawala Jamhuri ya Muungano Tanzania.
Halafu walinda usalama wetu mikoa yote ilibiwabidi kutii bila shurti maagizo ya hao hao vichaa!
View attachment 1814842
Sote tunajua kwamba Baba wa Taifa, kama angekuwa bado yu hai, hangeweza kukaa kimya kwa hali iliyokuwa ikiendelea nchini kwa miaka mitano, je huyu kijana asiye na adabu angethubutu kumkanya achunge ulimi wake la sivyo atwangwe?
Kwa hiyo huwa unauza hilo tendo??Hon. Chalamila pitia hapa Mtwara nikupe tendo la ndoa bureee.... upunguze stress, vinginevyo wewe Mnyalu unaweza kujinyonga. Onyo! Usije na hung over ya BALIMI ya Kanda ya Ziwa.
KARAMA imekurudia, Sugu anakusubiri mkanywe ulanzi[emoji846][emoji846][emoji846]
Hahahaaa, eti Maza Hausi.Atakuwa kapandisha mabega, si unakumbuka maza hausi alivyosema kuhusu wateuliwa watakaopandisha mabega?
Nlijua yasemayo ni uongo[emoji9][emoji11][emoji11] kumbe kwel[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]ile Tim inaondolewa taratibu[emoji6][emoji6][emoji6] haya bhana jenga nchi.,..Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Juni 2021 amefanya mabadiliko madogo ya wakuu wa Mikoa na kuteua viongozi wengine kama ifuatavyo:-
=====
Rais Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Mkuu wa mkoa wa Mwanza Albert Chalamila, na kumhamishia mkoa huo Mhandisi Robert Gabriel ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Mara.
Hatua hiyo imetokana na Rais Samia Suluhu Hassan kufanya mabadiliko madogo ya wakuu wa Mikoa na kuteua viongozi wengine.
Taarifa iliyotolewa usiku huu wa Juni 11, 2021 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu imesema katika mabadiliko hayo aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ally Salum Hapi anahamia Mkoa wa Mara.
Kwa mujibu wa Taarifa hiyo, Rais Samia amemteua Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Batilda Salha Buriani kuwa mkuu wa Mkoa wa Tabora kuchukua nafasi ya Ally Salum Hapi.
Aidha Katibu Twala Wilaya ya Simanjoro Zuwena Omari Jiri ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga kuchukua nafasi ya Batilda Salha Buriani.
Taarifa hiyo imesema tarehe ya uapisho wa viongozi wapya itatangazwa baadae
View attachment 1814796
Hii inaitwa Chalamila vs bajeti. Je nani ataibuka mshindi?
Kama ilivyokuwa kwa Ndugai vs Sabaya. Na mpaka muda huu Sabaya kaibuka kidedea kwani kafanikiwa kuzima kasi ya kutaka kuwatoa kina Halima Mdee bungeni.
Mods nawaona tu mnavyosubiria kwa hamu hii kitu ili muiunganishe kwenye nyuzi za Chalamila.
Na hiki ndio chanzoAlisema raisi akija watu wampokee na mabango hata kama ni mabango ya matusi.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Yani ukijipendekeza sana sisi wananchi tunakuchora tu kama hatuoniMwana alikuwa kimeo sana.. Hapa ni Mbeya watu ni shangwe tupuView attachment 1814985