Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

Samia ni Magufuli.

Samia aliteuliwa na Magufuli kama alivyoteuliwa Sabaya, Hapi, Majaliwa,Mpango etc

Acha wanafunzi wa Magufuli waumane
Wai chattle, gwaji boy ameshatangulia kamfufua mungu wenu
 
Atakuwa kapandisha mabega, si unakumbuka maza hausi alivyosema kuhusu wateuliwa watakaopandisha mabega?
 
Hivi hawa huyo mwendazake, aliyesalimu amri kwa corona, alikuwa akiwaokota wapi?

View attachment 1814839

Namtazama huyu afande anavyopokea amri, nabaki nashangaa tu na kujiuliza, hizo nguvu hao wahuni wanazitoa wapi?
Halafu kama vile nimezinduka uzingizini, nakumbuka ile kauli ya aliyewateua ya kuwataka vichaa kama yeye.
Alihakikisha kila mkoa unatawaliwa kwa namna ile ile alivyoitawala Jamhuri ya Muungano Tanzania.
Halafu walinda usalama wetu mikoa yote ilibiwabidi kutii bila shurti maagizo ya hao hao vichaa!

View attachment 1814842

Sote tunajua kwamba Baba wa Taifa, kama angekuwa bado yu hai, hangeweza kukaa kimya kwa hali iliyokuwa ikiendelea nchini kwa miaka mitano, je huyu kijana asiye na adabu angethubutu kumkanya achunge ulimi wake la sivyo atwangwe?
Kisa makada wa chama na wanawatukana wapinzani
 
Nasubiria nione mapokezi ya mama huko mwanza, mei mosi walimbipu
 
Hon. Chalamila pitia hapa Mtwara nikupe tendo la ndoa bureee.... upunguze stress, vinginevyo wewe Mnyalu unaweza kujinyonga. Onyo! Usije na hung over ya BALIMI ya Kanda ya Ziwa.

KARAMA imekurudia, Sugu anakusubiri mkanywe ulanzi[emoji846][emoji846][emoji846]
Kwa hiyo huwa unauza hilo tendo??
Mi nahitaji huduma sema bei

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Duh
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Juni 2021 amefanya mabadiliko madogo ya wakuu wa Mikoa na kuteua viongozi wengine kama ifuatavyo:-

=====

Rais Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Mkuu wa mkoa wa Mwanza Albert Chalamila, na kumhamishia mkoa huo Mhandisi Robert Gabriel ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Mara.

Hatua hiyo imetokana na Rais Samia Suluhu Hassan kufanya mabadiliko madogo ya wakuu wa Mikoa na kuteua viongozi wengine.

Taarifa iliyotolewa usiku huu wa Juni 11, 2021 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu imesema katika mabadiliko hayo aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ally Salum Hapi anahamia Mkoa wa Mara.

Kwa mujibu wa Taarifa hiyo, Rais Samia amemteua Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Batilda Salha Buriani kuwa mkuu wa Mkoa wa Tabora kuchukua nafasi ya Ally Salum Hapi.

Aidha Katibu Twala Wilaya ya Simanjoro Zuwena Omari Jiri ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga kuchukua nafasi ya Batilda Salha Buriani.

Taarifa hiyo imesema tarehe ya uapisho wa viongozi wapya itatangazwa baadae

View attachment 1814796
Nlijua yasemayo ni uongo[emoji9][emoji11][emoji11] kumbe kwel[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]ile Tim inaondolewa taratibu[emoji6][emoji6][emoji6] haya bhana jenga nchi.,..
 
Hii inaitwa Chalamila vs bajeti. Je nani ataibuka mshindi?

Kama ilivyokuwa kwa Ndugai vs Sabaya. Na mpaka muda huu Sabaya kaibuka kidedea kwani kafanikiwa kuzima kasi ya kutaka kuwatoa kina Halima Mdee bungeni.

Mods nawaona tu mnavyosubiria kwa hamu hii kitu ili muiunganishe kwenye nyuzi za Chalamila.

Mkuu angalia hata ule uzi wa bajeti haukuwa na wachangiaji hata kabla ya hii taarifa. Kwa ujumla taarifa za bunge ni kama watu wamezipuuza.
 
Back
Top Bottom