Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

Ukiona hivyo ujue na anakesi za kujibu kama Makonda so lazima ajadiliwe Wanambeya watatuambia maana sisi wanaMwanza alikuwa anatuambia Tunywe Pombe.
Tujadili Hii bajeti inachangamoto nyingi utafikiri imeletwa na mabeberu
 
Mabango ya kumtusi Rais,Ruksa..........

Mzee wa kukurupuka.....japo alitaka kusema mabango yenye kero, ubongo ukachelewa kupeleka taarifa
 
Doing your due diligence by using all the available resources at your disposal in order to get it right the first time.
This depends on who should do the due diligence. Of all, entire government qualifies to be vetted, from the top to the bottom.
 
Wakati mwingine inakuwa rahisi sana kumvizia kiongozi ambaye tayari ana shutumiwa, akiondolewa madai dhidi yake lazima yataibuka hata kama anaweza kuwa ameondolewa kwa sababu nyingine tofauti na zile alizokuwa akishutumiwa nazo, binafsi sijui sababu ya Chalamila kuondolewa, na hakuna ajuae coz hatujaambiwa na mamlaka ya uteuzi.
Hujaona video akihamasisha wananchi wa Mwanza kumpokea Rais tarehe 15 na mabango yoyote hata kama ni matusi waandike tu.?
 
Nadhani ili la kuhamasisha wananchi kuchukua sheria mkononi ina weza kuwa ni sababu kubwa kwake kutenguliwa mdomo uliponza kichwa siku anaapishwa bimkubwa alimwita mpayukaji hiyo ilikuwa wake up call kwake yeye akadhani amesifiwa
 
Dah! Aisee kumbe Albert Chalamila alikosea hapo tuu kuondoka Mbeya bila kuwaomba msamaha na kuwaaga vizuri maana hakujua kuwa Tanzania nzima watu wanaoongoza kwenye kuomba na kuimba na kufungua makanisa ni wanambeya.[emoji80][emoji1487]
 
Hapo ndipo utaelewa;Akili kubwa hujadili hoja na mawazo,akili ya kawaida hujadili matukio na akili ndogo hujadili watu.Kikifika kipindi kama hiki utaelewa wabongo wanapenda nini.
 
Hajielewi jamaa au makusudi tu
Tabia haibadiliki
Na Hapi naona anapwaya kwa kuhamishwa hamishwa na hayo ni majaribio mengine
 
Kumbe waliwekwa kwenye rada tayari! Hapo alikuwa anasubiriwa atakayeanza kujichanganya tu. Mama anamahesabu ya mbali sana, yaani anakutimua mwenyewe unaona kabisa hapa nimezingua. Tena unatumbuliwa usiku wa manane bado upo ndotoni. Saluti sana mama
Mwana alikuwa kimeo sana.. Hapa ni Mbeya watu ni shangwe tupu
 
Back
Top Bottom