Kule Sudan hakuna ramadhaniMbona ghafla sana hata ramadhan haijaisha
Hapana ni kile kilio cha kumlilia Magufuli jana wale wanawakeVibali vya ujenzi holela na uuzwaji wa viwanja vya serikali umemcost na hayo ni matokeo ya ziara ya juzi ya makamo wa Rais
Kama tuhuma ni za kweli, inabidi sasa afikishwe mahakamani.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Bw. Sekiete Yahaya Selemani, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kuanzia tarehe 16 Aprili, 2023.
IKUMBUKWE KUWA:
Mwanzoni mwa mwaka Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima 'alimshtaki' Mkurugenzi huyo kwa Wizara ya Tamisemi ambayo ndio mamlaka yake ya nidhamu, akimtuhumu kuhusika na uuzaji wa viwanja viwili vyenye thamani ya Sh1 bilioni vilivyopo mtaa wa Rwegasore jijini humo.
View attachment 2591994
Si ndo alisemwa anauza viwanja holelakafanya nini? johnthebaptist
sikuwahi kusikia, forward me that pleaseSi ndo alisemwa anauza viwanja holela