Rais Samia atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Dkt. Raphael Chegeni

Ni kweli, sio sawa kabisa, nadhani itakuwa amepangiwa kazi nyingine.
Na ndivyo itakavyotengenezwa kuwa huyu kutokana na uzoefu na utaalam wake nimeona akatusaidie ......, kama kina Lukuvi 🤣 😂🤣. Na huyu aliyekuwa Mkuu wa Magereza tumeona akatusaidie Mara, Mkoa wa mara unahitaji mtu asiyechoka 😂🤣😂🤣
 
Na ukute jamaa alishakuwa amefika Dodoma tayari kwa uapisho kesho
Imenikumbusha mwaka 2008 jamaa yangu alipata post kwenda Israel kwa miezi mitatu, perdiem wakati huo ilikuwa 4K kwa siku, (400,000x90=36,000,000.00) akajipa matumaini akakopa sana kwa matarajio ya kurejesha akitoka huko, bahati mbaya safari ikakatishwa, ilifika wakati akawa anaongea peke yake barabarani tena kwa vitendo
 
acha ufyatu eti anapigiwa salute na wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama.
shule yako darasa la ngapi kwanza nisije nikakutendea dhambi kumbe std seven nikamkosea Mungu

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
Hujielewi kabisa halafu unajifanya unajua kumbe mtupu hujui mkuu wa majeshi anampigia saluti mkuu wa mkoa,ficha upumavu wako mbele za watu
 
Alikuwa boss wa magereza nchi nzima.Ukuu kamkoa kamoja. Kashushwa.
Mkuu wa mkoa anasimamia kila kitu kwenye huo mkoa kuanzia hilo jeshi,miradi yote ,kusimamia magerenza pekee nchi nzima sio kigezo.kumbuka mkuu wa mkoa ni mwakilishi wa rais,yani ni rais kwa mahali alipo ,akija hiyo mkuu wa magereza anapiga saluti kali
 
Naona mama ametengua uteuzi wake wa awali baada kushauriwa acheki VAR...
 
Kwa hiyo, Rais kabadili mawazo. Chegeni,kabla hajaapishwa,ametenguliwa. This do I understand it.
 
Msisahau Rais huwa hakosei jamani...!
Urais wa siku hizi, hata wa kuokoteza bila mipango maalum; utakosa na sifa hizo unazozisema kweli?

Kuna 'urais na urais', huu wa siku hizi ni tofauti sana.
 
Hiyo inaitwa tegemea ulichonacho mkononi, usitegemee utakachotafuta
 
Hivi shida inakuwa wapi? Kwa nini asimrudishe kule alipotoka jeshini?
 
acha ufyatu eti anapigiwa salute na wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama.
shule yako darasa la ngapi kwanza nisije nikakutendea dhambi kumbe std seven nikamkosea Mungu

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
kwa hakina kuna majitu mafala halafu hayajijui kama majinga asasa hapo nini ambacho unabisha ,kama hujui uliza na ufiche ujinga wako mbele za watu
 
Ni udhalilishaji huu. Kwani hakukufanyika uchunguzi wa kutosha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…