bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
@peno ni wewe peke yako mwenye akili hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndivyo itakavyotengenezwa kuwa huyu kutokana na uzoefu na utaalam wake nimeona akatusaidie ......, kama kina Lukuvi 🤣 😂🤣. Na huyu aliyekuwa Mkuu wa Magereza tumeona akatusaidie Mara, Mkoa wa mara unahitaji mtu asiyechoka 😂🤣😂🤣Ni kweli, sio sawa kabisa, nadhani itakuwa amepangiwa kazi nyingine.
@peno ni wewe peke yako mwenye akili hiyo
kwa mazingira haya hii kazi sidhani kama anafaa atakuwa underutilized
Imenikumbusha mwaka 2008 jamaa yangu alipata post kwenda Israel kwa miezi mitatu, perdiem wakati huo ilikuwa 4K kwa siku, (400,000x90=36,000,000.00) akajipa matumaini akakopa sana kwa matarajio ya kurejesha akitoka huko, bahati mbaya safari ikakatishwa, ilifika wakati akawa anaongea peke yake barabarani tena kwa vitendoNa ukute jamaa alishakuwa amefika Dodoma tayari kwa uapisho kesho
Hujielewi kabisa halafu unajifanya unajua kumbe mtupu hujui mkuu wa majeshi anampigia saluti mkuu wa mkoa,ficha upumavu wako mbele za watuacha ufyatu eti anapigiwa salute na wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama.
shule yako darasa la ngapi kwanza nisije nikakutendea dhambi kumbe std seven nikamkosea Mungu
Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
Mkuu wa mkoa anasimamia kila kitu kwenye huo mkoa kuanzia hilo jeshi,miradi yote ,kusimamia magerenza pekee nchi nzima sio kigezo.kumbuka mkuu wa mkoa ni mwakilishi wa rais,yani ni rais kwa mahali alipo ,akija hiyo mkuu wa magereza anapiga saluti kaliAlikuwa boss wa magereza nchi nzima.Ukuu kamkoa kamoja. Kashushwa.
Urais wa siku hizi, hata wa kuokoteza bila mipango maalum; utakosa na sifa hizo unazozisema kweli?Msisahau Rais huwa hakosei jamani...!
Hiyo inaitwa tegemea ulichonacho mkononi, usitegemee utakachotafutaImenikumbusha mwaka 2008 jamaa yangu alipata post kwenda Israel kwa miezi mitatu, perdiem wakati huo ilikuwa 4K kwa siku, (400,000x90=36,000,000.00) akajipa matumaini akakopa sana kwa matarajio ya kurejesha akitoka huko, bahati mbaya safari ikakatishwa, ilifika wakati akawa anaongea peke yake barabarani tena kwa vitendo
AKA emotional damageHiyo inaitwa tegemea ulichonacho mkononi, usitegemee utakachotafuta
Hatari aiseeAKA emotional damage
Hivi shida inakuwa wapi? Kwa nini asimrudishe kule alipotoka jeshini?Kwa mujibu wa Taarifa ya Ikulu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassani, amemteua Meja Jenerali Suleimani Mungiya Mzee kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara na kutengua uteuzi wa Dr. Raphaeli Chegeni.
Kabla ya uteuzi huo, Meja Jenerali Suleimani Mzee alikuwa Kamishina Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini.
#Mwakammojanasamia #kaziiendelee
View attachment 2310209
🤣😂Hiyo inaitwa tegemea ulichonacho mkononi, usitegemee utakachotafuta
kwa hakina kuna majitu mafala halafu hayajijui kama majinga asasa hapo nini ambacho unabisha ,kama hujui uliza na ufiche ujinga wako mbele za watuacha ufyatu eti anapigiwa salute na wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama.
shule yako darasa la ngapi kwanza nisije nikakutendea dhambi kumbe std seven nikamkosea Mungu
Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app