welding1682
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 2,151
- 4,681
na ubunge 2025 asahauGekuli atenguliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na ubunge 2025 asahauGekuli atenguliwa
Idadavue Kwa undàni mkuu, nani Tena huko.Je ni Kassim, Salima, Hamida, Amandus, Kuchauka, Nape, au wale wa Kilwa?Haya ahamie na huko Lindi sasa kuna issue ya namna hiyo hiyo!
CowardMbona sijamtaja Magufuli?
Kwa nini tusubiri mpaka 2025? Anatakiwa jumatatu awe mahakamani... Na afungwe. Sheria akishafungwa kwa kosa la jinai tutakuwa hatuna mbungena ubunge 2025 asahau
hizo ndoto haiwezi kutokea sema ccm watamla kichwa asigombeeKwa nini tusubiri mpaka 2025? Anatakiwa jumatatu awe mahakamani... Na afungwe. Sheria akishafungwa kwa kosa la jinai tutakuwa hatuna mbunge
Kafie mbaliMtu kuwa chawa lazima ujitoe ufahamu uwe kama zezeta vile. Bila kuwa zezeta huwezi kuwalinganisha Samia na Magufuli kwa kutumbua majipu.
Na anasali KKKT hapo sasa tuone kama watamtimua maana washarika wengine wakivurunda matukio ya aibu huwa wanafukuzwa, je huyu??Kwamba huyo Pauline aliamuru kijana awekewe chupa matakoni? Kwamba huyo Gekul nae ni muumini wa ufiraji na ukatili, yaani katika adhabu zote akaona hiyo ndio inafaa kijana kupewa? Iwe tuhuma au kweli, hatakiwi kuwa waziri na hapa ndipo katiba inatakiwa kuangaliwa tena, hafai hata huo ubunge. Nasema iwe tuhuma au iwe imethibitika.
1.https://www.jamiiforums.com/threads/kwanini-nawahusisha-mkuu-wa-wilaya-na-ocd-lindi-kwenye-kifo-cha-mtoto-wangu.2161434/?amp=1Idadavue Kwa undàni mkuu, nani Tena huko.Je ni Kassim, Salima, Hamida, Amandus, Kuchauka, Nape, au wale wa Kilwa?
Kumbe KKKT ni kwa ajili ya watakatifu?Na anasali KKKT hapo sasa tuone kama watamtimua maana washarika wengine wakivurunda matukio ya aibu huwa wanafukuzwa, je huyu??
Wanatimuaga mbona sasa ndo najiuliza huyu je? Au kwa vile mbunge ataachwa kuogopa kupoteza fungu la kumi lililononaKumbe KKKT ni kwa ajili ya watakatifu?
Sikujua kama kuna kufukuzana huko.
Mkuu chukua chupa hapo kwako then fanya demo.Gekul ameonewa. Vijana wamekuwa wa hovyo sana siku hizi.
Kufa sifi, wala huko mbali siendi. Ila kuwa chawa ni kujitoa ufahamuKafie mbali
...angejiuzuru angebaki na kaheshima kidogo..sasa.ndio.basi.yena asahau !Huyo Waziri angeshauriwa ajiuzulu kwa maslahi ya chama na serikali.
Kitendo cha kutenguliwa kinatengeneza mfano mbaya kwa watendaji wa serikali.
Tutashuhudia clip nyingi sana za maovu ya viongozi kwa wananchi, na wasipotenguliwa ndio shughuli itaanzia hapo.
Huyo anatakiwa kuchukuliwa hatua za kisheria.Afu vitu vingine kama Waziri hutakiwi kuhusika kabisa
Kama an akili asisubiri Fedheha nyingine ya Kuvuliwa uanachama bora ajivue yeye mwenyewe ili mahakama na Bunge liamua kuvunja ubunge wake.....angejiuzuru angebaki na kaheshima kidogo..sasa.ndio.basi.yena asahau !
Mahakama itathibitisha hayo yote baada ya uchunguziLakini je ni kweli huyo aliyekuwa Naibu Waziri alifanya kitendo hicho kikamilifu kama anavyoeleza mhanga?
Akikujibu nitag mkuuNadhani hapa ndipo majukumu ya Waziri wetu Mh Dkt. Gwajima D yanaingia, atusaidie ni jinsi gani wizara yake wanashughulika na case kama hii inayomuhusu kiongozi wa Umma na haswa mwenye ngazi ya Juu kama Waziri, na hapo ndipo tutafahamu kama kuna double standards katika kushughulikia masuala ya ukatili au sheria zinahusu watu wote bila kujali status ya mtu, matukio kama haya hayakuanza leo lakini mara nyingi sheria zimeonekana kuwalinda wakubwa haswa wenye vyeo au pesa.
Ndio sisi si ndio tumemuajiri, na aliapa kulinda katiba so katiba ikikiukwa unakaaje kimya? Unaona ni sahihi?Unadhani Rais anapaswa kupangiwa cha kufanya?
NeverWeka hadharani awajibike au awajibishwe.
Umeandika nini?!Angalikuwa mvaa hijab huyu mbunge. Mjadala ungalikuaje humu jf? Mpaka madrasa aliosoma ingalitafutwa? Swali tu.
Au nakosea wadau?