Stratopause
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 751
- 1,461
Mi mtu anayefanya kitu kwa ushirikina kisingizio it means imeanzia huko ila ni ujinga kuamini uchawi mtu aliyesoma sana huwezi kukuta anawaza UJINGA KAMA HUOMtu kujivua utamaduni wake ngumu, inatakiwa kufanyiwa social engineering kabla hajatimiza umri wa miaka 4, lakini utegemee msomi aanze kutupa tunguli, 'mikoba' na imani zake zote akiwa na umri wa miaka 21 mwanafunzi mwaka wa kwanza chuo kikuu ni ngumu sana.
Sawa na umuambie mwanaCCM wakulelewa katika chipukizi, UVCCM hadi CCM ya wakubwa ajivue gamba wakati tayari ameshajitoa kifikra na akili yeye ni CCM daima dumu .