Rais Samia atengua uteuzi wa Pauline Gekul saa chache baada ya kutuhumiwa kufanya unyanyasaji kwa mtoto

Rais Samia atengua uteuzi wa Pauline Gekul saa chache baada ya kutuhumiwa kufanya unyanyasaji kwa mtoto

Mtu kujivua utamaduni wake ngumu, inatakiwa kufanyiwa social engineering kabla hajatimiza umri wa miaka 4, lakini utegemee msomi aanze kutupa tunguli, 'mikoba' na imani zake zote akiwa na umri wa miaka 21 mwanafunzi mwaka wa kwanza chuo kikuu ni ngumu sana.

Sawa na umuambie mwanaCCM wakulelewa katika chipukizi, UVCCM hadi CCM ya wakubwa ajivue gamba wakati tayari ameshajitoa kifikra na akili yeye ni CCM daima dumu .
Mi mtu anayefanya kitu kwa ushirikina kisingizio it means imeanzia huko ila ni ujinga kuamini uchawi mtu aliyesoma sana huwezi kukuta anawaza UJINGA KAMA HUO
 
Mama ana legitimize character assassination za kisiasa kwenye mwamvuli wa accountability. Haya mambo huwa hayaishii hapo, yana tabia ya kukurudia hadi wewe uliefanya legitimization ikigundulika vinginevyo. Kinachoonekana hapo ni watu wanatengeneza faida za kisiasa na kukusanya mitaji ya kisiasa wakiwaza 2025. Hili sio geni maana hata mama alishawahi kuliongelea. Critical thinking lakini inatukumbusha kwamba kama Gekul katenguliwa ili awajibike basi kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa na wilaya husika pia zisiachwe. Ukiamua kucheza na nguruwe kwenye tope basi usiogope tena kuchafuka.
Kiongozi wa umma unapopata kashfa nzito namna hii hekima ya kwanza ni kujiuzulu, Gekul angemwomba Mama kujiuzulu ili kupisha uchunguzi hata public ingemsikiliza ila kangojea kuwajibishwa kupisha hatua nyingine ni aibu kwake sasa.
 
JF na Twitter ziko acknowledged

Samia yumo humu na alisema.

Twitter alisema anapita sana hadi analijua lile jina la kule "Jamhuri ya Twitter"

Twitter ndio imefanya hadi kina Nape na wenzie wamejulikana walivyo weupe kichwani hadi kufunga comment section.

Very interactive and informative.
Ni muhimu pia kuchangia mijadala kwa nidhamu hasa ile inayogusa Wakubwa.

Maana kama wao wapo humu vipi Chawa wao ambao wanapeleka umbeya kila saa 🙌
 
Wapo wanaofanya unyama kupita huyu Gekul....pamoja na wananchi kulalamika na ushahidi juu bado wanadunda kwenye nafasi zao....anajua mwenyewe moyoni mwake anatumia kigezo gani kutengua....binafsi naona ni maigizo tu ya kujipatia umaarufu kizembezembe...asafishe kote kunakonuka
 
Back
Top Bottom