Rais Samia atengua uteuzi wa Pauline Gekul saa chache baada ya kutuhumiwa kufanya unyanyasaji kwa mtoto

Na anasali KKKT hapo sasa tuone kama watamtimua maana washarika wengine wakivurunda matukio ya aibu huwa wanafukuzwa, je huyu??
 
Idadavue Kwa undàni mkuu, nani Tena huko.Je ni Kassim, Salima, Hamida, Amandus, Kuchauka, Nape, au wale wa Kilwa?
1.https://www.jamiiforums.com/threads/kwanini-nawahusisha-mkuu-wa-wilaya-na-ocd-lindi-kwenye-kifo-cha-mtoto-wangu.2161434/?amp=1

2.https://www.jamiiforums.com/threads/mh-rais-mkuu-wa-wilaya-na-ocd-lindi-wamemuua-angel-kessy-mwanafunzi-wa-pcb.2159397/page-4
 
...angejiuzuru angebaki na kaheshima kidogo..sasa.ndio.basi.yena asahau !
 
...angejiuzuru angebaki na kaheshima kidogo..sasa.ndio.basi.yena asahau !
Kama an akili asisubiri Fedheha nyingine ya Kuvuliwa uanachama bora ajivue yeye mwenyewe ili mahakama na Bunge liamua kuvunja ubunge wake..
Vinginevyo Ni aibu kuvuliwa uanachama na kunyang'anywa vyote
 
Akikujibu nitag mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…