Rais Samia atengua uteuzi wa Pauline Gekul saa chache baada ya kutuhumiwa kufanya unyanyasaji kwa mtoto

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Pauline Philipo Gekul.

View attachment 2824966
 
Safi hii. Mawaziri na wakuu wa kibongo wanajionaga miungu sana. Hii ng'ombe jike baada ya kuitengua ni ya kupeleka kwa pilato tu hii.

Unamfanyia mtu ukatili kisa we mbunge au waziri?
Alifanyaje huyu dada...?
 
Kwamba huyo Pauline aliamuru kijana awekewe chupa matakoni? Kwamba huyo Gekul nae ni muumini wa ufiraji na ukatili, yaani katika adhabu zote akaona hiyo ndio inafaa kijana kupewa? Iwe tuhuma au kweli, hatakiwi kuwa waziri na hapa ndipo katiba inatakiwa kuangaliwa tena, hafai hata huo ubunge. Nasema iwe tuhuma au iwe imethibitika.
 
Kama ni kweli hizo tuhuma adhibiwe kama wengine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…