Rais Samia atengua uteuzi wa Pauline Gekul saa chache baada ya kutuhumiwa kufanya unyanyasaji kwa mtoto

Mods, badili kichwa cha habari

Huu sio unyanyasaji

Unyanyasaji ni kula mezani wakati msichana wa kazi anakula kwenye mkeka jikoni kwa vile yeye sio level yenu

Hili ni shambulio la kikatili na udhalilishaji kinyume na maumbile

Assault and battery, defilement and molestation
 
RPC ajipime...
 
Kwa matendo waliyofanya Makonda na Sabaya ni zaidi ya hili je hampo nao huko mtaani?[emoji419][emoji375]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
je la Kigwangwala kiwandani kwake?
 
Mkuu and vice versa is true, ngoma bado haijafika mahakamani. Mtuhumiwa ametake political responsibility ambayo sio ushahidi kuwa ni kweli. Muda ni mwalimu!
 
πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘
 
Mimi ni baba yako wa kambo. Muulize mama yako atakupa habari zangu. Kuwa na adabu kwa hawara wa mama yako.
Angalia jina lako halafu uone kama una sifa ya kuitwa Baba! Ungekuwa mwanaume kama mimi, usingejiita jina la kike la MamaSamia2025! Wewe utakuwa ni lishangingi tu la wakubwa hapo Lumumba.

Mimi naitwa Tate Mkuu! Unafahamu maana yake kwa Kisambaa? Baba Mkubwa! Sasa wewe MamaSamia2025 huoni unatuchanganyia madesa hapa! Kubaliana tu na hiyo jinsia yako, ili maisha yaendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…