UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Nimekwambia, kuwa chawa ni kujitoa ufahamu kwa kiwango cha juu.Ongea na Gwajima amfufue jiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekwambia, kuwa chawa ni kujitoa ufahamu kwa kiwango cha juu.Ongea na Gwajima amfufue jiwe
Mwalimu mkuu amerudishwa, ila kwa ishu ya gekul wataithibitisha vipo kuwa kafanya hayo?
sijui alilipwa nini...au labda no hawala wake...!Kweli kabisa, alikuwa anamtetea alidhani ataizima issue nzima. Sasa mbunge katolewa.
hao unao wasema wanyama kuliko huu....watasingizia kuwa wanafanya kwa maslahi mapana ya Taifa🤣🤣🤣Wapo wanaofanya unyama kupita huyu Gekul....pamoja na wananchi kulalamika na ushahidi juu bado wanadunda kwenye nafasi zao....anajua mwenyewe moyoni mwake anatumia kigezo gani kutengua....binafsi naona ni maigizo tu ya kujipatia umaarufu kizembezembe...asafishe kote kunakonuka
Kuwa mfuasi wa jiwe je?Nimekwambia, kuwa chawa ni kujitoa ufahamu kwa kiwango cha juu.
Ushahidi wake haukuwa na mashaka, maana video ipo na maelezo yanajitosheleza.
Kama huyo anayeongea anadanganya je?alietendewa yupo na anaonge straight... huyo ndio shahidi.... angekuwa bubu apo sawa mbona ushahidi upo wazi... au ujaiona ile video ya anae lalamika kufanyiwa huo ufilauni...?
Siyo sawa na kuwa chawaKuwa mfuasi wa jiwe je?
Washamfumua dogo marindaPeople should learn to mind. Their own business
Live your life
Hongereni wananchi wa Babati.Ikiwa ni mtu Muungwana Mhe Gekul angetoka hadharani kisha akamuomba Hashim na Umma Kwa ujumla msamaha Kwa udhalilishaji aliofanya. Nasi kama sehemu ya Jamii tutamuelewa.
Kuendelea kushupaza komwe kutamgharimu kisiasa na kijamii
Ukiwa Ccm Ni UntouchableHivi Nchii hii hakuna sheria?
Pachipachi Imefunguliwa Kwa Ubabe SanaWashamfumua dogo marinda
Hata hivyo
Ova