Rais Samia atengua uteuzi wa Pauline Gekul saa chache baada ya kutuhumiwa kufanya unyanyasaji kwa mtoto

Rais Samia atengua uteuzi wa Pauline Gekul saa chache baada ya kutuhumiwa kufanya unyanyasaji kwa mtoto

Mwalimu mkuu amerudishwa, ila kwa ishu ya gekul wataithibitisha vipo kuwa kafanya hayo?
alietendewa yupo na anaonge straight... huyo ndio shahidi.... angekuwa bubu apo sawa mbona ushahidi upo wazi... au ujaiona ile video ya anae lalamika kufanyiwa huo ufilauni...?​
 
Wapo wanaofanya unyama kupita huyu Gekul....pamoja na wananchi kulalamika na ushahidi juu bado wanadunda kwenye nafasi zao....anajua mwenyewe moyoni mwake anatumia kigezo gani kutengua....binafsi naona ni maigizo tu ya kujipatia umaarufu kizembezembe...asafishe kote kunakonuka
hao unao wasema wanyama kuliko huu....watasingizia kuwa wanafanya kwa maslahi mapana ya Taifa🤣🤣🤣
 
Ushahidi wake haukuwa na mashaka, maana video ipo na maelezo yanajitosheleza.
ni kweli ingekuwa uongo asingelitaja jeshi la polisi...kwa umri wa mlalamikaji awezi kujihusisha na kutamka mambo ya polisi. madogo wengi huwa ni waoga linapo kuja swala la kulizungumzia jeshi la Polisi....

na hii ni sehemu ndogo sana kati ya maelfu ya unyanyasaji unaofanywa ambao haujajidhihirisha....ila jibu la kila jambo ni muda tu...


huwa kila siku tunasema humu nchi ipo mikononi mwa majambazi....​
 
Atengue uteuzi wa wengi katika teuzi zake
Tengua wafuatao tuanze upya

1. Makonda
2. Mkuu wa Mkoa Dar
3. Kingai
4.
5.
 
Ikiwa ni mtu Muungwana Mhe Gekul angetoka hadharani kisha akamuomba Hashim na Umma Kwa ujumla msamaha Kwa udhalilishaji aliofanya. Nasi kama sehemu ya Jamii tutamuelewa.

Kuendelea kushupaza komwe kutamgharimu kisiasa na kijamii
 
Hawezi kufanya hivyo kwa Sasa kwa kuogopa jinai.Huyu ni mmoja wa wanawake katili sana na mjinga fulani hivi,limbukeni wa mambo ya mjini mjini.Unaona hata mdogo wake anamfokea yule mama wakati anajua kabisa uwanja umeshachafuka wala hakuwa na tahadhali yeyote kukwepa kurekodiwa.Ushamba ni mzigo na fedheha kwa jamii.Kilichomponza hiyo chalii ni ushamba.Alipaswa akutane na mwendazake Dangote aliyezikwa juzi usiku angemfundisha adabu.
 
Ikiwa ni mtu Muungwana Mhe Gekul angetoka hadharani kisha akamuomba Hashim na Umma Kwa ujumla msamaha Kwa udhalilishaji aliofanya. Nasi kama sehemu ya Jamii tutamuelewa.

Kuendelea kushupaza komwe kutamgharimu kisiasa na kijamii
Hongereni wananchi wa Babati.

Haki imeshinda,Umoja wenu ndiyo ulinzi wenu sasa mtuhumiwa wetu yupo katika mikono salama ya Jeshi la Polisi Tz.

Jaribio lake la Kutoroka mkono wa sheria limezimwa na Wananchi na sasa Polisi wamemtia mbaroni mualifu wetu.

Sasa anachukuliwa MAELEZO YA ONYO katika Ofisi za RCO,Manyara

Pauline Gekul alipanga kutokea Nairobi,Kenya [emoji1139] leo alfajiri baada ya jana Gekul kupata taarifa za kutaka
1.kushtakiwa na 2.Kufukuzwa uanachama wa CCM Wilayani Babati.

Umoja mlio onyesha wananchi wa Babati usiishie hapo tu.

Jutitokeze Kwa wingi Mahakamani ili haki iweze Kuonekana ikitendeka.

Najua Babati inafuraha kama imepata uhuru tangu Jana,lakini tuendelee na kazi ya doria.

Ukatili na ualifu dhidi ya utu unapaswa Kupingwa na dini zote,Itikadi zote na jamii yote mahala popote.

20231127_032512.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu akishaomba msamaha nae anakalia chupa au ndo imekwisha??
 
Huyo dada ni katili sana muhun
Amemtesa sana mume wake ambaye amemsaidia hadi kupata ubunge
Leo hii yule baba anateseka mwanamke amemtelekeza daaah inauma Sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom