Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Tunataka bandari zetu siyo uteuzi
Wewe na nani mnazitaka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunataka bandari zetu siyo uteuzi
WENYE AKILIWewe na nani mnazitaka?
Mkurugenzi Mtendaji mpya wa TANROAD nakuomba uiangalie barabara ya mbezi Mpiji na Mbezi Makabe, Msakuzi na Msumi. Pia pita mbezi Makabe uone mkandarasi anayejenga barabara utaugua kichwa kwa USANII UNAOFANYIKA , tangu mwaka jana mwezi wa sita hadi leo ni mita zisizofika 500 anahangaika nazo na ni hovyoo UTAFIKIRI NI WATOTO WANAJIFUNZA KUUMBA MAUMBO.
BINAFSI NIMEFURAHI KUBADILISHWA KWA MTENDAJI WA TANROAD. MWINGINE NINAYEOMBA MUNGU ABADILISHWE NI WAZIRI MBARAWA
Kwa tunaoifahamu TANROADS hapo mamalaka ya uteuzi imevurunda.
Always, kama jeshi, mkuu wa TANROADS lazima atoke from within.
Kuna a big cycle of learning hapo.
Tusubiri madudu.
Mbarawa and co! mnaendelea na madudu.
Uliza kwanza kama wamelipwa usijitundike hvyo.Mkurugenzi Mtendaji mpya wa TANROAD nakuomba uiangalie barabara ya mbezi Mpiji na Mbezi Makabe, Msakuzi na Msumi. Pia pita mbezi Makabe uone mkandarasi anayejenga barabara utaugua kichwa kwa USANII UNAOFANYIKA , tangu mwaka jana mwezi wa sita hadi leo ni mita zisizofika 500 anahangaika nazo na ni hovyoo UTAFIKIRI NI WATOTO WANAJIFUNZA KUUMBA MAUMBO.
BINAFSI NIMEFURAHI KUBADILISHWA KWA MTENDAJI WA TANROAD. MWINGINE NINAYEOMBA MUNGU ABADILISHWE NI WAZIRI MBARAWA
Ametolewa kwenye ulaji ameenda kijiweni awe anasubiri tu per diemMkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Rogatus Hussein Mativila amepata uteuzi kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Mama yupo Mwanza nadhani kaona pia mradi wa kusimika taa Barabara ya kuelekea Airport,zoezi linaenda polepole sana.Taa zimetoka Airport mpaka maeneo ya Pasiansi,Iloganzala.Kuanzia hapo kwenda mjini kati ni kiza tupu!Mkurugenzi wa TANROADS anapaswa awe mchakarikaji, mativila apipooza sana.
tunamuomba Mkurugenzi mpya wa TANROADS aweke taa za barabarani kuanzia Kimara mwisho hadi kibaha. njia 8.
Lakini barabara ya kulipa inayo kusudiwa kujengwa kuanzia Kibaha hadi Chalinze tunaomba ianzie mbezi mwisho.
Hiyo kazi ampe Naibu Waziri Engineer Kasekenya,lile jembe linaijua nchi na linafuatilia kazi vizuri sana.Huyo MBARAWA ndio Kaamua Kumuweka mwenzake “wapige kazi “ ……unampa Mzanzibar jukumu la barabara za Tanganyika ……
Unaweza kupandishwa cheo kumbe umeshushwa cheo …
Kwa tunaoifahamu TANROADS hapo mamalaka ya uteuzi imevurunda.
Always, kama jeshi, mkuu wa TANROADS lazima atoke from within.
Kuna a big cycle of learning hapo.
Tusubiri madudu.
Mbarawa and co! mnaendelea na madudu.
Hiyo hata kwangu haijakaa sawa kabisa yani.Ajabu sana naendelea kushangaa CEO wa Tanroads anatoka vipi nje ya taasisi yenyewe tena muhandisi wa mambo ya anga ndio akaendeshe taasisi ya inayohusiana na mambo ya barabara na miundombinu yake
Tanroads mama kaamua kutuwekea Mzanzibari ?
Amemaliza au zinaendelea
Kwa tunaoifahamu TANROADS hapo mamalaka ya uteuzi imevurunda.
Always, kama jeshi, mkuu wa TANROADS lazima atoke from within.
Kuna a big cycle of learning hapo.
Tusubiri madudu.
Mbarawa and co! mnaendelea na madudu.
Katika teuzi zake sijaona atheist hata mmoja why?
Ni kweli hakuna kibao, ndio maana nikasema ni USANII tu. Pia unasema nijiulize kama mkandarasi amelipwa. Nimeshuhudia wakandarasi wengi wanapewa kandarasi na wanapiga mzigo karibia na robo ndio wanapewa hela LAKINI KWA HUYU INAONYESHA DHAHIRI HANA SIFA ZA KUWA MKANDARASI. Yaani hata mimi kwa kipato changu ningepewa hiyo kandarasi ningefanya vizuri kuliko hivyo. KINACHOFANYIKA BARABARA ILE NI MARA KUMI WAACHE TU ILI BARABARA ITENGENEZWE NA CONSTRUCTION COMPANY YA MAANA. HATA MIAKA IJAYO, KULIKO HIKI KITUKO KINACHOFANYIKA SASAUliza kwanza kama wamelipwa usijitundike hvyo.
Kuna miradi haina pesa, halafu jiulize kuna kibao hapo?
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.Tunataka bandari zetu siyo uteuzi