FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Wanakuwa na alama gani?Katika teuzi zake sijaona atheist hata mmoja why?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakuwa na alama gani?Katika teuzi zake sijaona atheist hata mmoja why?
Hawaapi kwa vitabu vya Dini.Wanakuwa na alama gani?
Sasa kwa nini usiichukue kabisa hiyo kazi uifanye mwenyewe.Ni kweli hakuna kibao, ndio maana nikasema ni USANII tu. Pia unasema nijiulize kama mkandarasi amelipwa. Nimeshuhudia wakandarasi wengi wanapewa kandarasi na wanapiga mzigo karibia na robo ndio wanapewa hela LAKINI KWA HUYU INAONYESHA DHAHIRI HANA SIFA ZA KUWA MKANDARASI. Yaani hata mimi kwa kipato changu ningepewa hiyo kandarasi ningefanya vizuri kuliko hivyo. KINACHOFANYIKA BARABARA ILE NI MARA KUMI WAACHE TU ILI BARABARA ITENGENEZWE NA CONSTRUCTION COMPANY YA MAANA. HATA MIAKA IJAYO, KULIKO HIKI KITUKO KINACHOFANYIKA SASA
Nyie ndio mnaokwamisha Ustawi wa Taifa. Akili dumaziSasa kwa nini usiichukue kabisa hiyo kazi uifanye mwenyewe.
Mhandisi Mohamed Besta kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barbara Tanzania (TANROADS).
Inafikirisha sana kwanini asichukuliwe mtu kutoka ndani ya taasisi anachukuliwa kutoka nje ukizingatia upana wa taasisi yenyewe na uhitaji wa mtu mwenye kuijua kiundani na CEO Tanroads ndie mtendaji mkuu haijakaa sawa kabisa hii.
..Mohamed Besta ni Mtanganyika.
..alikuwa wizara ya Ujenzi na baadae Tanroads miaka ya 90.
..baadae akahamia Tcaa, halafu akarudi tena wizarani mpaka mwaka jana alipopata kazi EA
..Mohamed Besta ni Mtanganyika.
..alikuwa wizara ya Ujenzi na baadae Tanroads miaka ya 90.
..baadae akahamia Tcaa, halafu akarudi tena wizarani mpaka mwaka jana alipopata kazi EAC.