Rais Samia atoa angalizo kwa NGO's, ataka Masharti ya wafadhili yaendane na Maadili, Utamaduni wa Tanzania

Asijifiche kwenye kupiga vita ushoga ili kuvuta sympathy ya umma , maana anajua katika vitu ambavyo umma unakubaliana kwa sauti umoja ni kukataa ushoga.

Sisi tunajua kaingia mkataba mbovu wa bandari na tunataka urekebishwe au ufutwe kabisa tuanze zabuni upya!

La sivyo tutampuuza kwa kila kitu atakachofanya hata kiwe kizuri vipi
 
Sema hivi "nitampuuza" usitusemee. Sisi tunamuelewa sana
Asijifiche kwenye kupiga vita ushoga ili kuvuta sympathy ya umma , maana anajua katika vitu ambavyo umma unakubaliana kwa sauti umoja ni kukataa ushoga.

Sisi tunajua kaingia mkataba mbovu wa bandari na tunataka urekebishwe au ufutwe kabisa tuanze zabuni upya!

La sivyo tutampuuza kwa kila kitu atakachofanya hata kiwe kizuri vipi
Wa
 
Wasiomulewa ni vilaza wasitumia bongo zao vizuri. The country must always move forward. Marekani wanawabembeleza kila siku wachina waende kuwekeza kwao. Biashara ni ushindani siyo kuwa na vilasilimali ambavyo ni non viable kama bandari
Nyie mnaomuelewa ni wachache, uko wewe, Makamba, Mwigulu, Chalamila na watu wa hivyo
 
Wasiomulewa ni vilaza wasitumia bongo zao vizuri. The country must always move forward. Marekani wanawabembeleza kila siku wachina waende kuwekeza kwao. Biashara ni ushindani siyo kuwa na vilasilimali ambavyo ni non viable kama bandari
Nani kakwambia biashara maana yake ni kuingia mikataba kama ya Sultan Mangungo?

Tofautisha uwekezaji makini na uwekezaji wa kijinga
 
Ndo mmekalilishwa na tundu lisu ambaye yeye mwenyewe alipoulizwa kwenda majakani kupinga akakataa katakata mana anajua hamna vipengere vilivyokiukwa. Ndo shida ya nyie vilaza kwanza mkataba wenyewe hata hujaosoma unadikiliza lisu au mbowe. Kesho mbowe alisema mkataba uko vizuri na wewe utaunga kama zuzu. Simeni mjue vitu.

Haya onesha ibara au kifungu kinacholeta ukakasi ili iwe Msingi wa hoja yako
 
Upo sahihi kabisa.
Na tena wamepiga hatua zaidi kuna biscuit na caje za bangi.. wanafunzi wanatumia kama karanga
Dah mbona hizi za muda sana wayback 2014 biscuit za bh@ng vijana wa hovyo walikuwa wanasupply na kutumia secondary school tena madogo wa o level sio hata advance.
Bh@ng Zinaharibu vijana sana.
Sema wengine ndio wanapigia msuli wanasogea siti za mwanzo mwanzo pale kwenye notice board top 10.
Sio salama kwa afya wapambane kuzipinga vijana wanaharibikiwa.
 
Back
Top Bottom