Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Nami naomba hayo maagizo yajumuishe pia mkataba wa IGA
WaAsijifiche kwenye kupiga vita ushoga ili kuvuta sympathy ya umma , maana anajua katika vitu ambavyo umma unakubaliana kwa sauti umoja ni kukataa ushoga.
Sisi tunajua kaingia mkataba mbovu wa bandari na tunataka urekebishwe au ufutwe kabisa tuanze zabuni upya!
La sivyo tutampuuza kwa kila kitu atakachofanya hata kiwe kizuri vipi
Nyie mnaomuelewa ni wachache, uko wewe, Makamba, Mwigulu, Chalamila na watu wa hivyoSema hivi "nitampuuza" usitusemee. Sisi tunamuelewa sana
Wa
Nyie mnaomuelewa ni wachache, uko wewe, Makamba, Mwigulu, Chalamila na watu wa hivyo
Nani kakwambia biashara maana yake ni kuingia mikataba kama ya Sultan Mangungo?Wasiomulewa ni vilaza wasitumia bongo zao vizuri. The country must always move forward. Marekani wanawabembeleza kila siku wachina waende kuwekeza kwao. Biashara ni ushindani siyo kuwa na vilasilimali ambavyo ni non viable kama bandari
Ndo mmekalilishwa na tundu lisu ambaye yeye mwenyewe alipoulizwa kwenda majakani kupinga akakataa katakata mana anajua hamna vipengere vilivyokiukwa. Ndo shida ya nyie vilaza kwanza mkataba wenyewe hata hujaosoma unadikiliza lisu au mbowe. Kesho mbowe alisema mkataba uko vizuri na wewe utaunga kama zuzu. Simeni mjue vitu.Nani kakwambia biashara maana yake ni kuingia mikataba kama ya Sultan Mangungo?
Tofautisha uwekezaji makini na uwekezaji wa kijinga
Dah mbona hizi za muda sana wayback 2014 biscuit za bh@ng vijana wa hovyo walikuwa wanasupply na kutumia secondary school tena madogo wa o level sio hata advance.Upo sahihi kabisa.
Na tena wamepiga hatua zaidi kuna biscuit na caje za bangi.. wanafunzi wanatumia kama karanga